Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mkuu nimefanya kama ulivyoomba. Au Bado nakukwaza?Nitashukuru sana. 😊😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimefanya kama ulivyoomba. Au Bado nakukwaza?Nitashukuru sana. 😊😊
Virginity inahusiana nini na Utafutaji?
Aliipoteza katika harakati za kutafuta?
Sisi tunamuunga mkono jamaa yetu mkono bw Xi Jinping yupo sahihi.
Aisee nimecheka sanaBikra Maria.....ndo kielelezo cha usafi hata Mungu anajua umuhimu wa bikra ndomaana akachagua tumbo la mwanamke bikra Maria ili aje duniani kutuokoa na dhambi...
Kama mkeo sio bikra iyo ni taasisi au kampuni na sio ndoa ndoa ni safi kuanzia mwilini mpaka mwilini ukidate na ginjaginja huwezi kufeel kama upo kwenye ndoa bali upo kwenye kampuni ambayo watu wengi wamefanya kazi na kupewa lidandasi na wengine waliaamua kuacha wenyewe kutokana na mazaifu ya taasisi......
Anakuwa kama anakulinganisha na ma ex wake wengine.Mwanamke akishaonjoa dudu zaid ya mmoja iyo inakua ni hatar mnoo siku kiwango cha kuchakata ndani kikipungua tu shida huanzia apo
kwenda kuridhishwa na ex wake ni jambo la kawaida kbs
Ila bikra ni muhimu sana ni moja ya kipimo cha uaminifu.Ofcourse anatema facts na ndio maana kama ukimsikia vizuri anasema men SHOULD BE PROVIDERS ili waweze kutawala na kuimarisha ndoa. To fully be masculine you need to be a provider.
My point hapa ni double standards.
Unakuta mtu kwenye uzi huu anasema wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela then kwenye uzi unaofuata anasema lazima uoe mwanamke bikra.
Wanaume wanataka pure feminine and traditional women meanwhile hawawezi kuprovide hence they cant be fully Masculine Men.
Umasculine sio kwenda gym. Kuprovide is a large part of that.
Mnachukua clip moja ya Andrew Tate mnajifariji nayo alafu mnaignore the rest ya anachosema.
Pia nani amwekwambia wanaume kigezo chao ni bikra tu? Unafuatilia nyuzi za humu mkuu?
Kwanza kabisa, ndoa ni nini?Kwa mtazamo wako wewe mkuu msomi Je,Ni Kweli ama sio Kweli?
Kwako Elon na Diamond ndio unawaoana masculine hata baba yako unamuona weaker masculine?.Kutwa kuwasema wanawake hawana bikra.
Mnataka traditional feminine woman lakini hamtaki kuwa traditional masculine men, who provide.
Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.
Unachokiongea hapa kiltakiwa kisemwe na kina Elon Musk na kina Diamond.
Wewe kapuku achana n hizo story. Dunia imebadilika mkuu.
Plus, acha kuwasikiliza kina Andrew Tate
Wanawake punguzeni ubinafsi , wewe unataka pesa zangu we huwezi kutafuta?Unamuunga mkono kwa sababu mko biased.
Wanaume wakisema wanataka mabikra mnampigia makofi. Hicho ni kigezo chake.
Mwanamke akisema anataka mwanaume provide mnamwita gold digger na kumshusha utu wake.
Mtoa mada ni mfano mzuri.
Ndoa ni mkataba kati ya mwanaume Na mwanamke kuishi pamoja kimwili pamoja na mambo mengine mbele ya mashahidi wa Pande mbili.Kwanza kabisa, ndoa ni nini?
TUKANA UONEHUO NDIYO UKWELI
Ila bikra ni muhimu sana ni moja ya kipimo cha uaminifu.
Hii ni Emotional damager kabisaKwako Elon na Diamond ndio unawaoana masculine hata baba yako unamuona weaker masculine?.
Kama umeshindwa kutunza kitu kidogo kama bikra ambacho unakimiliki wewe utaweza nini sasa?.
Mbona hata sisi wanaume tunawakumbuka wanawake wengi wakiwa ni mabeki tatu waliotuingiza kwenye ulimwengu wa mahaba? Tusipende unyanyapaa.
Kwa wengine sijui ila mimi mwanamke akiwa na bikra kwangu ni wathamani mno kuliko asiyenayo.Ni mawazo yako mkuu. Nayaheshimu
Though hayareflect ukweli uliopo kwamba wanaume sasa hivi ni crybabies and entitled.
Sasa kama ni mkataba kati ya mwanamme na mwanamke kwa nini wengine wasio kwenye mkataba wanaingilia mkataba kwa kimnelembele bila hata kuombwa kufanya hivyo?Ndoa ni mkataba kati ya mwanaume Na mwanamke kuishi pamoja kimwili pamoja na mambo mengine mbele ya mashahidi wa Pande mbili.