Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Sisi tunamuunga mkono jamaa yetu mkono bw Xi Jinping yupo sahihi.

Unamuunga mkono kwa sababu mko biased.

Wanaume wakisema wanataka mabikra mnampigia makofi. Hicho ni kigezo chake.

Mwanamke akisema anataka mwanaume provide mnamwita gold digger na kumshusha utu wake.

Mtoa mada ni mfano mzuri.
 
Bikra Maria.....ndo kielelezo cha usafi hata Mungu anajua umuhimu wa bikra ndomaana akachagua tumbo la mwanamke bikra Maria ili aje duniani kutuokoa na dhambi...

Kama mkeo sio bikra iyo ni taasisi au kampuni na sio ndoa ndoa ni safi kuanzia mwilini mpaka mwilini ukidate na ginjaginja huwezi kufeel kama upo kwenye ndoa bali upo kwenye kampuni ambayo watu wengi wamefanya kazi na kupewa lidandasi na wengine waliaamua kuacha wenyewe kutokana na mazaifu ya taasisi......
Aisee nimecheka sana
 
Mwanamke akishaonjoa dudu zaid ya mmoja iyo inakua ni hatar mnoo siku kiwango cha kuchakata ndani kikipungua tu shida huanzia apo
kwenda kuridhishwa na ex wake ni jambo la kawaida kbs
Anakuwa kama anakulinganisha na ma ex wake wengine.

Wanawake wanajipa umuhimu sana, eti kisa 'k', halafu mzigo wenyewe wajanja wamefungua.

Wanawake mindset zao huwa wanahisi kutoa mzigo ndio tunu ya hali ya juu na ya heshima zaidi.
 
Ofcourse anatema facts na ndio maana kama ukimsikia vizuri anasema men SHOULD BE PROVIDERS ili waweze kutawala na kuimarisha ndoa. To fully be masculine you need to be a provider.

My point hapa ni double standards.

Unakuta mtu kwenye uzi huu anasema wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela then kwenye uzi unaofuata anasema lazima uoe mwanamke bikra.

Wanaume wanataka pure feminine and traditional women meanwhile hawawezi kuprovide hence they cant be fully Masculine Men.

Umasculine sio kwenda gym. Kuprovide is a large part of that.

Mnachukua clip moja ya Andrew Tate mnajifariji nayo alafu mnaignore the rest ya anachosema.

Pia nani amwekwambia wanaume kigezo chao ni bikra tu? Unafuatilia nyuzi za humu mkuu?
Ila bikra ni muhimu sana ni moja ya kipimo cha uaminifu.
 
Mbona hata sisi wanaume tunawakumbuka wanawake wengi wakiwa ni mabeki tatu waliotuingiza kwenye ulimwengu wa mahaba? Tusipende unyanyapaa.
 
Kutwa kuwasema wanawake hawana bikra.

Mnataka traditional feminine woman lakini hamtaki kuwa traditional masculine men, who provide.

Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.

Unachokiongea hapa kiltakiwa kisemwe na kina Elon Musk na kina Diamond.

Wewe kapuku achana n hizo story. Dunia imebadilika mkuu.

Plus, acha kuwasikiliza kina Andrew Tate
Kwako Elon na Diamond ndio unawaoana masculine hata baba yako unamuona weaker masculine?.

Kama umeshindwa kutunza kitu kidogo kama bikra ambacho unakimiliki wewe utaweza nini sasa?.
 
Unamuunga mkono kwa sababu mko biased.

Wanaume wakisema wanataka mabikra mnampigia makofi. Hicho ni kigezo chake.

Mwanamke akisema anataka mwanaume provide mnamwita gold digger na kumshusha utu wake.

Mtoa mada ni mfano mzuri.
Wanawake punguzeni ubinafsi , wewe unataka pesa zangu we huwezi kutafuta?
women dont care about us , that is the way it is at the end, sio kwamba nawachukia no! nisieleweke vibaya, at the end of the day, they only care about themselves. they care about their own needs being met, they only care about what you can do for them, you are almost like entertainer, you have to keep her happy at all times, its all abt her,.... najua its hard pill to shallow, hii ni part ya female nature na huo ndio ukweli... so siwachukii

specificly they care abt what you can do for them and what you are doing for her, wanachojali ni value unayompatia sasa whether it be financial value, you might be taking care of the kids while she's at work, you might be giving her sexual glatification, yaani in general you are providing some value in her life to where you are keeping her around..

unaweza pigwa chini kwa higher value male anytime, thats how it works, kwa hiko hiko kigezo chenu mnataka provider.

Na sisi wanaume tunasema tunataka bikra sasa.
 
Mbona hata sisi wanaume tunawakumbuka wanawake wengi wakiwa ni mabeki tatu waliotuingiza kwenye ulimwengu wa mahaba? Tusipende unyanyapaa.

Na kuna uzi kabisa humu watu wanaeleza jinsi walivyowala wadada wa kazi na hawasahau hadi leo
 
Ndoa ni mkataba kati ya mwanaume Na mwanamke kuishi pamoja kimwili pamoja na mambo mengine mbele ya mashahidi wa Pande mbili.
Sasa kama ni mkataba kati ya mwanamme na mwanamke kwa nini wengine wasio kwenye mkataba wanaingilia mkataba kwa kimnelembele bila hata kuombwa kufanya hivyo?

Unasemaje mwanamme anayeoa mwanamke asiye bikira ni loser, kama vile kila mtu anaoenda bikira?

Hivi mshawahi kupata mwanamke bikira au mnaandika story tu?

Mnajua shughuli ya kuvunja bikira?

Mnajuaje kuwa kuna wanaume washavunja bikira na hawatamani tena kuwa na bikira, wao wanataka mwanamke aliyevunjwa bikira tayari?
 
Back
Top Bottom