Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.
Mbona mabinti wanaweza kuvumilia umasikini wa baba zao kwa miaka zaidi ya 20 kabla hawajaolewa?
Wakiolewa wanashindwaje kuvumilia ikitokea mume kakwama kiuchumi?
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa baba zao pia sio masculine enough? Na mbona waliwaoa traditional women?
Wakiolewa wanashindwaje kuvumilia ikitokea mume kakwama kiuchumi?
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa baba zao pia sio masculine enough? Na mbona waliwaoa traditional women?