Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

 

Kuna wanawake wamebakwa na kuwa assaulted.

Kuna wanawake kutokana na kazi ngumu wanazofanya wakashindwa kuwa na virginity

Kuna wanawake walipata ajali hivyo hiyo kitu ikaondoka.

Hawa nao ukiwaoa hiyo itakuwa sio ndoa?

And since you have used kitabu kitakatifu kujustify hoja yako, kitabu cha Timotheo pia kinasema wanaume ndo wanatakiwa wawe providers na defenders wa familia.

Je ni sahihi kwa wanawake kugoma kuolewa na wanaume kisa mwanaume hawezi kuprovide?
 
Kataa ndoa watakwambia ukishaoa tu ushafeli.
 
Ndio talking points za Andrew Tate hizo. Namtoa mada anapita mule mule

Sadly wanaume wanaziiga bila kujua Andrew ni entertainer na millionaire who has a lot of options compared to large percent of men.
Ukitumia logic Andrew anatemaga fact kwa kiasi chake.
Nyie wanawake mnaweka vigezo vingi mno kwa mwanaume ila si kigezo chetu ni kimoja tu uwe na bikra
 
Virginity inahusiana nini na Utafutaji?
Aliipoteza katika harakati za kutafuta?
 
Sisi tunamuunga mkono jamaa yetu mkono bw Xi Jinping yupo sahihi.
 
Ukitumia logic Andrew anatemaga fact kwa kiasi chake.
Nyie wanawake mnaweka vigezo vingi mno kwa mwanaume ila si kigezo chetu ni kimoja tu uwe na bikra

Ofcourse anatema facts na ndio maana kama ukimsikia vizuri anasema men SHOULD BE PROVIDERS ili waweze kutawala na kuimarisha ndoa. To fully be masculine you need to be a provider.

My point hapa ni double standards.

Unakuta mtu kwenye uzi huu anasema wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela then kwenye uzi unaofuata anasema lazima uoe mwanamke bikra.

Wanaume wanataka pure feminine and traditional women meanwhile hawawezi kuprovide hence they cant be fully Masculine Men.

Umasculine sio kwenda gym. Kuprovide is a large part of that.

Mnachukua clip moja ya Andrew Tate mnajifariji nayo alafu mnaignore the rest ya anachosema.

Pia nani amwekwambia wanaume kigezo chao ni bikra tu? Unafuatilia nyuzi za humu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…