Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Tatizo bikra zinauzwa madukani siku hizi.

Kuna binti wa Kidigo nilisoma nae Uganda, ilikuwa tunaishi kama mke na mume na kufanya yote kama wanandoa.

Baada ya kumaliza shule aliambiwa tu kuwa kuna mume katokea na anaolewa.

Moja ya mila za watu wa Tanga ni kuweka shuka nyeupe chumba cha bwana na bibi harusi usiku wa kwanza baada ya ndoa. Wakikuta damu inamaanisha demu alikuwa bikra na wazazi hupewa zawadi.

Kwa yule binti damu ilitoka nyingi na sifa kedekede kwenda kwa wazazi wake kuwa wamemlea vyema.

Baadae kuja kuongea na demu akasema alipewa dawa ya kufunga na mama yake kumfanya awe na utepe tena.

Mumewe mpaka leo anaamini kambikiri mkewe kumbe demu keshabikiriwa toka kinda. Hata mimi sikumkuta na bikra na alishapanch mimba kadhaa.
 
Bikra Maria.....ndo kielelezo cha usafi hata Mungu anajua umuhimu wa bikra ndomaana akachagua tumbo la mwanamke bikra Maria ili aje duniani kutuokoa na dhambi...

Kama mkeo sio bikra iyo ni taasisi au kampuni na sio ndoa ndoa ni safi kuanzia mwilini mpaka mwilini ukidate na ginjaginja huwezi kufeel kama upo kwenye ndoa bali upo kwenye kampuni ambayo watu wengi wamefanya kazi na kupewa lidandasi na wengine waliaamua kuacha wenyewe kutokana na mazaifu ya taasisi......

Kuna wanawake wamebakwa na kuwa assaulted.

Kuna wanawake kutokana na kazi ngumu wanazofanya wakashindwa kuwa na virginity

Kuna wanawake walipata ajali hivyo hiyo kitu ikaondoka.

Hawa nao ukiwaoa hiyo itakuwa sio ndoa?

And since you have used kitabu kitakatifu kujustify hoja yako, kitabu cha Timotheo pia kinasema wanaume ndo wanatakiwa wawe providers na defenders wa familia.

Je ni sahihi kwa wanawake kugoma kuolewa na wanaume kisa mwanaume hawezi kuprovide?
 
Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra mwanaume wake wa 10 kuwa kwenye mahusiano naye kabla yako kama atamkumbuka, nina hakika hawezi kumkumbuka.

Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa iko kichwani mwake kama tukio la jana tu.

Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata

  • Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi?
  • Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri.
  • Wewe loser uliye kwenye mahusiano na mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?

  • Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?

  • Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?

Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well

Learn or perish
Kataa ndoa watakwambia ukishaoa tu ushafeli.
 
Ndio talking points za Andrew Tate hizo. Namtoa mada anapita mule mule

Sadly wanaume wanaziiga bila kujua Andrew ni entertainer na millionaire who has a lot of options compared to large percent of men.
Ukitumia logic Andrew anatemaga fact kwa kiasi chake.
Nyie wanawake mnaweka vigezo vingi mno kwa mwanaume ila si kigezo chetu ni kimoja tu uwe na bikra
 
Kutwa kuwasema wanawake hawana bikra.

Mnataka traditional feminine woman lakini hamtaki kuwa traditional masculine men, who provide.

Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.

Unachokiongea hapa kiltakiwa kisemwe na kina Elon Musk na kina Diamond.

Wewe kapuku achana n hizo story. Dunia imebadilika mkuu.

Plus, acha kuwasikiliza kina Andrew Tate
Virginity inahusiana nini na Utafutaji?
Aliipoteza katika harakati za kutafuta?
 
Kutwa kuwasema wanawake hawana bikra.

Mnataka traditional feminine woman lakini hamtaki kuwa traditional masculine men, who provide.

Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.

Unachokiongea hapa kiltakiwa kisemwe na kina Elon Musk na kina Diamond.

Wewe kapuku achana n hizo story. Dunia imebadilika mkuu.

Plus, acha kuwasikiliza kina Andrew Tate
Sisi tunamuunga mkono jamaa yetu mkono bw Xi Jinping yupo sahihi.
 
Ukitumia logic Andrew anatemaga fact kwa kiasi chake.
Nyie wanawake mnaweka vigezo vingi mno kwa mwanaume ila si kigezo chetu ni kimoja tu uwe na bikra

Ofcourse anatema facts na ndio maana kama ukimsikia vizuri anasema men SHOULD BE PROVIDERS ili waweze kutawala na kuimarisha ndoa. To fully be masculine you need to be a provider.

My point hapa ni double standards.

Unakuta mtu kwenye uzi huu anasema wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela then kwenye uzi unaofuata anasema lazima uoe mwanamke bikra.

Wanaume wanataka pure feminine and traditional women meanwhile hawawezi kuprovide hence they cant be fully Masculine Men.

Umasculine sio kwenda gym. Kuprovide is a large part of that.

Mnachukua clip moja ya Andrew Tate mnajifariji nayo alafu mnaignore the rest ya anachosema.

Pia nani amwekwambia wanaume kigezo chao ni bikra tu? Unafuatilia nyuzi za humu mkuu?
 
Back
Top Bottom