Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.
Mbona mabinti wanaweza kuvumilia umasikini wa baba zao kwa miaka zaidi ya 20 kabla hawajaolewa?

Wakiolewa wanashindwaje kuvumilia ikitokea mume kakwama kiuchumi?

Kwa hiyo tunakubaliana kuwa baba zao pia sio masculine enough? Na mbona waliwaoa traditional women?
 
We nae una akili kweli? Kwahiyo kuwa provider mpaka ulingane kiuchumi na Elon Musk au mpaka uwe waziri mkuu? Nikiwa na kipato cha kati tu siwezi kuwa provider? Una matatizo gani kichwani?
 
Wewe je umeoa huyo bikra? Je hujatoa bikra za wengine ambao hukuwaoa? Maisha ni bikra pekee, imekusaidia chochote so far?
Swali zuri japo mlniliyeulizwa siyo mie, lakini nashauri wanaume wenzangu waendelee kuchakata mbususu used, akikuta bikra waache coz ni mali ya mumewe, kama ukiitoa bikra itabidi uoe huyo huyo. Mimi nikipata bikra tu naoa.
 
Safi, lakini maisha siyo bikra pekee, unaweza mpata mtu hana bikra ila ni wife material sana, usijilimit kuoa eti hadi bikra aah, nyie wenyewe siyo nanii pia..
 
Siyo muhimu mkuu, itakua muhimu kama na nyie mtakua mmetulia, umechapa bikra kama 20 hivi na hujawaoa then unataka uoe bikra, that's not fair.
Sawa kiongozi ni kweli kabisa lakini hao 20 mi sikuwabaka, nimaelewano yalitokea kati ya pande mbili, maana yake ni kama angeona umuhimu wake asingekubali kutolewa na mtu anajua kabisa hatomuoa.

Mwenye maamuzi ya kuitunza au kuipoteza ni ke mwenyewe
 
Je katika ushawishi wako, ulitumia ushawishi gani, hukutumia kigezo cha kuja kuwaoa? Uliwaambia ukweli kwamba unataka kupita tu/kuwachezea? Unahisi wangejua ukweli kama hamna future wangekubali?.
 
Ni kweli ila wengine huenda ni ile adolescence stage tu, mtu akajaribu kitu, but haimaanishi kutokua bikra basi ni mhunii.
Kuoa asie bikra inauma huwezi elewa ndugu labda yakukute, angalia humu wengi wenye hasira na huu uzi wameoa wanawake used.

Aya umeoa mtumba wako uko ndani lazima tu kuna siku utajiuliza maswali mengi, kwanini sikumkuta bikra na je kashapitiwa na wangapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…