Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mama yako a
Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.

Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.

Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.

  • Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi?​
  • Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri.​
  • Wewe loser uliye kwenye mahusiano na mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?

  • Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?

  • Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?

Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well

Learn or perish
Mama yako alikua bikra wakati akiolewa na baba yako?
 
Wee unasema hasiye na bikra? Wengine wanaoa masingle mother na anatia timu kwako akiwa na watoto wakati wewe huna na unabebeshwa jukumu la malezi kwa mtoto wa mme mwenzio! Nadhani wanaume hapo tumefeli!
 
Yah ni wengi mkuu, ila kuwapata ndo changamoto maana hawajiuzi kama hawa wengine
Mwanamke ni mwanamke tu ana weakness zake! Kama umemuona binti na kweli huko serious naye na uwezo wa kummudu unao pambana tu utampata. Japo sio rahisi lakini mbinu ziko nyingi kupitia marafiki zake, kuajili ma_freelancer wanaojua angle za kumpata na mwisho wa siku unampata. Mimi mke wangu niliangaika sana nikamtumia freelancer mmoja kwa kumlipa 1k akaniunganishia huyo binti ndo alikuwa first year chuo!
 
Mwanamke ni mwanamke tu ana weakness zake! Kama umemuona binti na kweli huko serious naye na uwezo wa kummudu unao pambana tu utampata. Japo sio rahisi lakini mbinu ziko nyingi kupitia marafiki zake, kuajili ma_freelancer wanaojua angle za kumpata na mwisho wa siku unampata. Mimi mke wangu niliangaika sana nikamtumia freelancer mmoja kwa kumlipa 1k akaniungashia huyo binti ndo alikuwa first year chuo!
Hongera sana kiongozi
 
Hongera sana kiongozi
Ukifanikiwa kuoa Mke mwenye bikra mzuri sana hasikwambie mtu! Yaaani akili yake yote anakujua wewe! Hata haya mambo sijui kibamia sijui nini ni kwasababu unaoa mwanamke kaishakunjwa na mitalimbo mikubwa na minene alafu unakuja kuingiza kakidole kako lazima kimoyomoyo akucheke hivyo tegemea dharau, kuchepuka na mwisho hamfiki mbali!
 
Shida ni upatikanaji wao ndo mgumu kinoma noma bila njama huwapati aisee
 
Vianzishwe vikao vya wanaume, kuna watu mna madini.
Mabinti wenye bikra wako wengi! Siku hizi wazazi wana mwamko wa kusomesha watoto wao. Na siku hizi mashuleni wasichana wanafanya vizuri sana kuliko wavulana kwasababu wanaconcentrate kwenye masomo. Mashule mengi ya bweni ya wasichana yana strict rule sana kwa wasichana kukengeuka. Japo sio wote lakini form six leavers wengi na first years wengi waliotoka katika familia zenye malezi na wanaojimudu angalau milo mitatu na malezi ya dini, mabinti wao wanakuwa na bikra zao. Japo inabidi umuwahi mara tu akimaliza kidato cha sita tia timu!
 
Akili yangu inaniambia ni kweli lakini muda huo huo akili yangu inaniambia sio kweli.
Kwani mwanamke bikra anaweza akatulia kwenye ndoa lakini siku akikutana na kidume akamkunja kisawa sawa ndio itakuwa mwanzo wa kupanga foleni nadhan ukioa mke bikra unapaswa upige pum*u kweli kweli.
Lakini alieoa asiye bikra nae usimdharau kwani mwanamke anaweza kutulia kwa kuwa anajua hakuna kingne yote ni yale yale.
Bikra hana wa kukulinganisha naye. Hayo magumegume mengine ndio tatizo.
 
Ofcourse anatema facts na ndio maana kama ukimsikia vizuri anasema men SHOULD BE PROVIDERS ili waweze kutawala na kuimarisha ndoa. To fully be masculine you need to be a provider.

My point hapa ni double standards.

Unakuta mtu kwenye uzi huu anasema wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela then kwenye uzi unaofuata anasema lazima uoe mwanamke bikra.

Wanaume wanataka pure feminine and traditional women meanwhile hawawezi kuprovide hence they cant be fully Masculine Men.

Umasculine sio kwenda gym. Kuprovide is a large part of that.

Mnachukua clip moja ya Andrew Tate mnajifariji nayo alafu mnaignore the rest ya anachosema.

Pia nani amwekwambia wanaume kigezo chao ni bikra tu? Unafuatilia nyuzi za humu mkuu?
Bikra ndio inatakiwa iwe kigezo namba moja ndio vingine vifuate
 
Kutwa kuwasema wanawake hawana bikra.

Mnataka traditional feminine woman lakini hamtaki kuwa traditional masculine men, who provide.

Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.

Unachokiongea hapa kiltakiwa kisemwe na kina Elon Musk na kina Diamond.

Wewe kapuku achana n hizo story. Dunia imebadilika mkuu.

Plus, acha kuwasikiliza kina Andrew Tate
Subiria povu kutoka kwa akina karunguyeye 😅
 
Wewe ni Malaya harafu unaongelea mwanamke bikra, hao ambao mnawatoa bikra harafu hamuwaoi waende wapi? Katika mahusiano kuaminiana hakuna uhusiano na kuoa bikra. Kumbuka kuwa hata hao akina wema Kajala Wolper na wengineo pia walikuaga mabikra. Koa bikra na mwanamke kuwa mwaminifu katika mahusiano haiwezi kuwasababu pekee,
 
Back
Top Bottom