Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Huu ujinga kama ujinga mwengine, kuna wengine tumetembea na mademu zaidi ya mmoja wengine tulipata bahati ya kuwabikiri wengine hata hatujui body count yake ngapi


Lakini mwisho wa siku, tabia njema, kujiheshimu na kuniheshimu, na madiko diko mengine ambayo ni extra yananifanya nipige kambi kwa ambae hata sikumbikiri ujue kwanini?

Sababu mapenzi ni zaidi ya Sex, kuna vingi nje ya hapo na ndio maana pamoja Sex kuwa na umuhimu lakini kukosekana kwa vigezo tajwa hapo juu kumesababisha wengi kuhitilafiana
Nyinyi modern men mna hoja za kijinga sana

Eti akiwa na tabia njema na kujiheshimu na kukuheshimu inatosha

Kumkuta akiwa bikira tu tayari huyo ni malaya hajiheshimu

Na kama haitoshi anakupa K used. Anakuheshimu kweli huyo malaya?


 
Bikra !!!!!!!! Kachonge/kaumbe wa kwako au kaoe robot.
Maneno ya finished men au losers

Kama ulioa mkeo sio bikira uwaheshinu sana waliotoka naye kabla yako

They are superior than you. Wamemmwagia halafu wakampiga chini hawakuona thamani yake

Wewe umeokoteza na kumweka ndani kama mke

Usiamini drama za mkeo kwa maex zake eti kuwa hana habari nao siku hizi. Kumbuka akiwa kitandani alishawahi kuwaambia fanya kwa nguvu na akawauliza baby umeshakojoa?

You are a last man
 
Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.

Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.

Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.

  • Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi?​
  • Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri.​
  • Wewe loser uliyeoa mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?

  • Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?

  • Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?

Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well

Learn or perish
Mwanamke mwema anatoka Kwa BWANA nimemwomba MUNGU nangojea mke mwema aaaaaaa🎵
 
Kuwa na subira chagua kwa hekima. Ndoa ni takatifu usio mke mchafu
Kuna jamaa mmoja alioa bikra maeneo ya buguruni, alimtoa demu huko kundoa, mtoto mzuri wa sura mpaka maumbile, whiteeeeeee aisee sijui nifafanue vepeee!

Anyway to make long story short, jamaa alikuwa anakuja maskani, ile mtoto mkali, bikra, mtoto wa sheikh, Mara kwao Kuna maadili, Mara hivi na vile.

Mwisho wa siku demu alikuwa anakuja kuliwa na washkaji mpaka pale anapoishi na mshikaji, ndoa ilishavunjika kitambo sana.
 
Omba MUNGU akupe mwanamke mwaminifu anaejua thamani ya ndoa(Mwanamke wa mithali)

Sasa hivi mwanamke ukimtoa bikra ni Kama umefungulia mbwa bandani.
Mkuu mna hofu Sana ya kupigiwa,.. wanawake ukiwawazia hivyo utakufa mapema, wanawake kumpa mtu uchi wake kwake sio Jambo kubwa Kama wanaume wanavyodhani,

Anaweza kumpa mtu yeyote,muda wowote...nisharukia madada A1 level za kina Lil tkee halafu Sina hela, Sina hu handsome Wala swaga.

Msiwe na hofu ya kupitiliza,hata huyo bikra oa,atakuja kunipa muhuni stolowei..

Instead of kuogopa kutombe** na kujistress ""nifanye Nini asichepuke"" tujifunze kuwatendea vizuri,.. upendo wa kweli ndio jawabu la maswali yote.and it has nothing to do with being bikra....
 
Back
Top Bottom