Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Huu ujinga kama ujinga mwengine, kuna wengine tumetembea na mademu zaidi ya mmoja wengine tulipata bahati ya kuwabikiri wengine hata hatujui body count yake ngapi
Lakini mwisho wa siku, tabia njema, kujiheshimu na kuniheshimu, na madiko diko mengine ambayo ni extra yananifanya nipige kambi kwa ambae hata sikumbikiri ujue kwanini?
Sababu mapenzi ni zaidi ya Sex, kuna vingi nje ya hapo na ndio maana pamoja Sex kuwa na umuhimu lakini kukosekana kwa vigezo tajwa hapo juu kumesababisha wengi kuhitilafiana
Nyinyi modern men mna hoja za kijinga sana
Eti akiwa na tabia njema na kujiheshimu na kukuheshimu inatosha
Kumkuta akiwa bikira tu tayari huyo ni malaya hajiheshimu
Na kama haitoshi anakupa K used. Anakuheshimu kweli huyo malaya?
Eti akiwa na tabia njema na kujiheshimu na kukuheshimu inatosha
Kumkuta akiwa bikira tu tayari huyo ni malaya hajiheshimu
Na kama haitoshi anakupa K used. Anakuheshimu kweli huyo malaya?