akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Kama we looser, gonga like hapa tukujue.Mungu hakukosea aliposema wanaume tuoe wanawake bikira. Kama unabishana na aliyemuumba mwanamke bishana naye
Kwan comments zako zile hua mtoto anachezea cm!!?Kwann unaona bado
Mama yako alikua bikra wakati akiolewa na baba yako?Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.
Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.
Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.
Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi? Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri. Wewe loser uliye kwenye mahusiano na mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?
Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?
Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?
Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well
Learn or perish
Mkuu punguza sautiWalioa wanawake ambao hawakuwakuta bikra mada kama hizi huwa zinawaumiza sana😂
Wee unasema hasiye na bikra? Wengine wanaoa masingle mother na anatia timu kwako akiwa na watoto wakati wewe huna na unabebeshwa jukumu la malezi kwa mtoto wa mme mwenzio! Nadhani wanaume hapo tumefeli!Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.
Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.
Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.
Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi? Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri. Wewe loser uliye kwenye mahusiano na mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?
Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?
Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?
Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well
Learn or perish
Mabinti wenye bikra wako wengi!Bikra ni kitu muhimu na cha thamani sana.
Watu husema sikuiz hamna bikra ila mimi naamini bikra wapo wengi tu tena wengi mno.
Yah ni wengi mkuu, ila kuwapata ndo changamoto maana hawajiuzi kama hawa wengineMabinti wenye bikra wako wengi!
Mwanamke ni mwanamke tu ana weakness zake! Kama umemuona binti na kweli huko serious naye na uwezo wa kummudu unao pambana tu utampata. Japo sio rahisi lakini mbinu ziko nyingi kupitia marafiki zake, kuajili ma_freelancer wanaojua angle za kumpata na mwisho wa siku unampata. Mimi mke wangu niliangaika sana nikamtumia freelancer mmoja kwa kumlipa 1k akaniunganishia huyo binti ndo alikuwa first year chuo!Yah ni wengi mkuu, ila kuwapata ndo changamoto maana hawajiuzi kama hawa wengine
Hongera sana kiongoziMwanamke ni mwanamke tu ana weakness zake! Kama umemuona binti na kweli huko serious naye na uwezo wa kummudu unao pambana tu utampata. Japo sio rahisi lakini mbinu ziko nyingi kupitia marafiki zake, kuajili ma_freelancer wanaojua angle za kumpata na mwisho wa siku unampata. Mimi mke wangu niliangaika sana nikamtumia freelancer mmoja kwa kumlipa 1k akaniungashia huyo binti ndo alikuwa first year chuo!
Na ndio utaratibu pia hata mbele za MunguKwa wengine sijui ila mimi mwanamke akiwa na bikra kwangu ni wathamani mno kuliko asiyenayo.
Na huyo ndo mwenye haki ya kutolewa mahari.
Ukifanikiwa kuoa Mke mwenye bikra mzuri sana hasikwambie mtu! Yaaani akili yake yote anakujua wewe! Hata haya mambo sijui kibamia sijui nini ni kwasababu unaoa mwanamke kaishakunjwa na mitalimbo mikubwa na minene alafu unakuja kuingiza kakidole kako lazima kimoyomoyo akucheke hivyo tegemea dharau, kuchepuka na mwisho hamfiki mbali!Hongera sana kiongozi
Vianzishwe vikao vya wanaume, kuna watu mna madini.Yes,
Mwanamke inabidi aolewe na mwanaume mwenye future.
Mwanaume inabidi aoe mwanamke mwenye past safi... bikra.
Shida ni upatikanaji wao ndo mgumu kinoma noma bila njama huwapati aiseeUkifanikiwa kuoa Mke mwenye bikra mzuri sana hasikwambie mtu! Yaaani akili yake yote anakujua wewe! Hata haya mambo sijui kibamia sijui nini ni kwasababu unaoa mwanamke kaishakunjwa na mitalimbo mikubwa na minene alafu unakuja kuingiza kakidole kako lazima kimoyomoyo akucheke hivyo tegemea dharau, kuchepuka na mwisho hamfiki mbali!
Mabinti wenye bikra wako wengi! Siku hizi wazazi wana mwamko wa kusomesha watoto wao. Na siku hizi mashuleni wasichana wanafanya vizuri sana kuliko wavulana kwasababu wanaconcentrate kwenye masomo. Mashule mengi ya bweni ya wasichana yana strict rule sana kwa wasichana kukengeuka. Japo sio wote lakini form six leavers wengi na first years wengi waliotoka katika familia zenye malezi na wanaojimudu angalau milo mitatu na malezi ya dini, mabinti wao wanakuwa na bikra zao. Japo inabidi umuwahi mara tu akimaliza kidato cha sita tia timu!Vianzishwe vikao vya wanaume, kuna watu mna madini.
Ukikosa bikra, hauna sifa za wife material.Safi, lakini maisha siyo bikra pekee, unaweza mpata mtu hana bikra ila ni wife material sana, usijilimit kuoa eti hadi bikra aah, nyie wenyewe siyo nanii pia..
Bikra hana wa kukulinganisha naye. Hayo magumegume mengine ndio tatizo.Akili yangu inaniambia ni kweli lakini muda huo huo akili yangu inaniambia sio kweli.
Kwani mwanamke bikra anaweza akatulia kwenye ndoa lakini siku akikutana na kidume akamkunja kisawa sawa ndio itakuwa mwanzo wa kupanga foleni nadhan ukioa mke bikra unapaswa upige pum*u kweli kweli.
Lakini alieoa asiye bikra nae usimdharau kwani mwanamke anaweza kutulia kwa kuwa anajua hakuna kingne yote ni yale yale.
Sambamba na wale walioolewa bila bikra, wanaona kama kitumbua chao kinatiwa mchangaWalioa wanawake ambao hawakuwakuta bikra mada kama hizi huwa zinawaumiza sana😂
Bikra ndio inatakiwa iwe kigezo namba moja ndio vingine vifuateOfcourse anatema facts na ndio maana kama ukimsikia vizuri anasema men SHOULD BE PROVIDERS ili waweze kutawala na kuimarisha ndoa. To fully be masculine you need to be a provider.
My point hapa ni double standards.
Unakuta mtu kwenye uzi huu anasema wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela then kwenye uzi unaofuata anasema lazima uoe mwanamke bikra.
Wanaume wanataka pure feminine and traditional women meanwhile hawawezi kuprovide hence they cant be fully Masculine Men.
Umasculine sio kwenda gym. Kuprovide is a large part of that.
Mnachukua clip moja ya Andrew Tate mnajifariji nayo alafu mnaignore the rest ya anachosema.
Pia nani amwekwambia wanaume kigezo chao ni bikra tu? Unafuatilia nyuzi za humu mkuu?
Subiria povu kutoka kwa akina karunguyeye 😅Kutwa kuwasema wanawake hawana bikra.
Mnataka traditional feminine woman lakini hamtaki kuwa traditional masculine men, who provide.
Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.
Unachokiongea hapa kiltakiwa kisemwe na kina Elon Musk na kina Diamond.
Wewe kapuku achana n hizo story. Dunia imebadilika mkuu.
Plus, acha kuwasikiliza kina Andrew Tate