Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Na kingine kama shida ni bikira kila mwanaume anauwezo wa kuoa bikira ila kuna sifa zingine kila mtu anahitaji ambayo pia haifanani kati ya mtu na mtu sasa mtoa post anatuaminisha sifa anayoihitaji yy wote tuone ndo sifa kuu,
 
Mkuu kuna watu hawajawahi kutana na bikra kabisa tangu wame balehe mpaka wamejikuta wanaoa hao kina amber lut. Kwaiyo ikitokea kilamtu amchukue alie mtoa bikira kunawatu watakosa wake.
 


Kwendraaaaa!!! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Hata kama ametulia anasubiri ndoa haina sababu yoyote yakulazimisha mwingine atulie kama yeye asubiri ndoa, wengine starehe yao kufanya mapenzi sasa kama hajafikia maamuzi yakuoa kuolewa haimfanyi asifanye mapenzi, Hii imekaa kiimani zaidi sasa kama mtu hana imani Je? Si sahihi kulazimisha mambo yawe kwa kadri ya mtazamo wa mmoja.
 
Na kingine kama shida ni bikira kila mwanaume anauwezo wa kuoa bikira ila kuna sifa zingine kila mtu anahitaji ambayo pia haifanani kati ya mtu na mtu sasa mtoa post anatuaminisha sifa anayoihitaji yy wote tuone ndo sifa kuu,
Na tusipoiona kua sifa kuu tunaonekana WAJINGA na TUNAJIDHARAU
 
Mkuu kuna watu hawajawahi kutana na bikra kabisa tangu wame balehe mpaka wamejikuta wanaoa hao kina amber lut. Kwaiyo ikitokea kilamtu amchukue alie mtoa bikira kunawatu watakosa wake.


Mkuu ndipo tulipofikia kwa sasa
 
Kuoa mwanamke Bikra sio Kigezo kuwa Hautagongewaaa...!! Yanii tabu ipo pale palee
 
Bikira ina umuhimu wake...kwanza inakupa confidence.!!inakupa kujiamini...kuwa wew ndo wa kwanza...!!huna presha na mpuuzi aitwaye X

ila ukichukua nungaembe unaishi kwa presha...hujiamini....!!maana kama sio bikira lazma utagongewa tu..!!

Najua waliotolewa bikira na hawana ndoa itawauma...ila ndo ukweli

Hao waliopo kwenye ndoa ndo mashahidi.....si mke c mume...!!wanaishi kwa majuto
 
Kumbe umebahatika. Kwanini hukuoa uliekua unazini nae?
Huoni unaongelea kitu ambacho hata wewe hukiamini kama kinawezekana ila kwa bahati tu?


Niliyezini naye alikuwa hana Bikra Mkuu. Mimi bikra ni kipimo namba moja cha mwanamke mwaminifu. Hivi unadhani kukaa na bikra miaka 25 mchezo. Hii inaonyesha namna alivyojithamini.
 
Point & Fact
 
Linganisha utaelewa maana yake,kwahiyo ukiambiwa asiyesikia la mkuu huvunjika guu unafikiri wanazungumzia mguu?

Mkuu hivi unadhani sijaelewa ulichosema, ndio maana nikakujibu kwa muktadha wa msemo wako
 
Wewe inaonesha bikra zote tatu huna... huwezi kutetea kitu kibaya kama hicho.

Hahha jamani! Yawezekana ninazo au pia sina "zote" sioni kama inatakiwa kuwa concern yako since utaoa mke mmoja tu na hata ukioa wawili na kuendelea mimi siwezi kuwa mmoja wao, Je umegundua mimi kuwa nayo au kutokuwa nayo si business yako?

Tuje kwenye point ya msingia ambayo umeiita "kutetea kitu kibaya" tafadhali unaweza kuniambia ni kivipi utetezi wangu umeonesha ni kuwa natetea kitu kibaya? Utusaidie kufahamu pia ni kivipi imekuwa kitu kibaya ukituonesha uzuri wake na umuhimu wake katika maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…