Mkuu ngoja mimi nikusahihishe katika hiyo sentensi yako ya "endelea kujipa moyo" Mimi ni mwanamke hivyo naongea from experience, ukiona kuna mwanamke umri umeenda hajaolewa usifikiri amekosa wakumuoa, mwanamke hakosagi wakumuoa anachokosa ni machaguo yake anayoyataka/ matamanio anayoyataka kuyaona kwa mwanaume..... Ndio mwisho wa siku anaamua kukaa single, ila kama ni mtu wakuoa tu, kama nia ni kuvaa shela na pete, niamini mimi hakuna mwanamke anayekosa wakumuoa! Kama wewe si muoaji usifikiri kila mtu si muoaji mkuu.