Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.

Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.

Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.

  • Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi?​
  • Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri.​
  • Wewe loser uliyeoa mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?

  • Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?

  • Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?

Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well

Learn or perish
Tusamehe Mkuu
 
Kwa waliooa bikra,mmegundua nini baada ya mwaka mmoja wa ndoa?
nanyi leteni mrejesho.
 
Lengo turudi kwenye misingi ya tendo la ndoa kwa wanandoa pekee.
Wakati huo mkiwahold accountable wanaume ambao ni chanzo cha haya ? Au wenyewe wako eligible kuendeleza uharibifu sababu ni wanaume?

Najaribu kufikiri ukiacha wanawake wachache ambao bikra zetu zimetolewa tukiwa wakubwa na tunajielewa na tunajua tunachofanya, by wakubwa namaanisha 20’s.

Mabinti wengi wanaotokea familia masikini hutokewa bikra wakiwa bado teens na wakaka ambao wakubwa kwao wanaomiliki favor flani flani (usafiri, chakula, mavazi, gheto etc) Hawa ndio hawa walaghai wakubwa wa mabinti wadogo, Mabinti wengi kutoka familia zinazojiweza hutolewa bikra mara nyingi na boyfriend zao (secondary, high school etc) Kidogo wao wanaweza fikisha up to 19,20 na kuendelea wakiwa bado hawajaguswa na “manipulators” na kigezo ni kwakuwa manipulators wengi wanatumia uchumi kuwakamata mabinti wadogo.

Tufanyeje? Je tuiunge Mkono ile sheria ya umri wa binti kuolewa uwe 13 years kusudi muwakute wakiwa mabikra? Kuweni honest kati yenu wanaume wangapi wanataka kuoa binadamu mwenye miaka 13?

Au tuombe somo la utunzaji wa bikra liwekwe primary, form one na for 2? Au turudishe mabinti mkoleni? au? au?
 
Mimi mwanaume.
Wewe kuwa mwanaume inakuondoa vipi kwenye kundi la watu wa hovyo, waliojiharibu kabla ya kuoa. Huoni hata wewe unaweza kuingia kwenye ndoa na mentality za kihuni? Au unadhani ni mwanamke pekee wa kutengeneza ndoa?
 
Usikubali kutolewa bikra kwa sababu yoyote ile mpaka siku utakapoingia kwenye ndoa, tofauti ya hapo umekubali kuwa used.
 
Wewe kuwa mwanaume inakuondoa vipi kwenye kundi la watu wa hovyo, waliojiharibu kabla ya kuoa. Huoni hata wewe unaweza kuingia kwenye ndoa na mentality za kihuni? Au unadhani ni mwanamke pekee wa kutengeneza ndoa?
Mwanamke anapimwa kwa ubikra,
Mwanaume ninapimwa kwa uwezo wa ku-provide.
Hatuko sawa.
 
Mbona mabinti wanaweza kuvumilia umasikini wa baba zao kwa miaka zaidi ya 20 kabla hawajaolewa?

Wakiolewa wanashindwaje kuvumilia ikitokea mume kakwama kiuchumi?

Kwa hiyo tunakubaliana kuwa baba zao pia sio masculine enough? Na mbona waliwaoa traditional women?
Umeonyesha akili kubwa sana kwenye hii reply yako
 
Mimi mwenyewe ni sexually, emotionally and mentally damaged as nimeengage kwenge ngono kabla ya ndoa.

Kama unataka kupata kitu kizuri, anza wewe kuwa bora. I had multiple relationships before, kwanini nione mwenzangu ni scrap wakati mwenyewe sipo perfect?
Kwa hiyo wewe na mkeo mko damaged?
 
Mungu hakukosea aliposema wanaume tuoe wanawake bikira. Kama unabishana na aliyemuumba mwanamke bishana naye
Kumbe JF pia kuna incels? Mentality kama hizi ndizo husababisha msongo wa mawazo hatimaye kudhuru watu au kujidhuru mwenyewe. Unahitaji msaada wa kisaikolojia haraka.
 
Kati ya mimi na wewe unafikiri nani anahitaji msaada wa kisaikolojia?
 
Back
Top Bottom