Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wewe. Seriously, you need to talk to somebody kabla hujaharibu. Msimamo wako utakupeleka kubaya.
Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe alimchagua bikira Mariamu abebe mimba ya Yesu?

Wewe umeshadhulumiwa na huyo mwanamke umemuoa akiwa sio bikra na umelipia na mahari kabisa
 
Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe alimchagua bikira Mariamu abebe mimba ya Yesu?

Wewe umeshadhulumiwa na huyo mwanamke umemuoa akiwa sio bikra na umelipia na mahari kabisa
Unanizungumzia wakati hata hunifahamu. Unazidi kudhihirisha kwamba una matatizo ya kisaikolojia. Tafuta msaada Mkuu.
 
Bikra inasaidia nn ata uyo asie bikra anaweza kuirudisha na ukalia kma mbuzi usahau izo story apo
 
Hii kazi unaifanya vizuri sana, yaani kama umeisomea …. Nimefuatilia hiyo series ni sahihi kabisa huwa iko hivyo hivyo. I, as a case study.

Kwa ujumla vita ya kisaikolojia wewe unaiweza vizuri sana.

If i may ask lengo lako ni kuhamasisha mabinti watunze bikra au ni kuwa frustrate wanaume “walio oa”? na “wanaotarajia kuoa?, Nikiuliza tena kwanini unakuwa frustrated sana mwanaume mwingine “loser” kama ulivyomuita kuoa mtumba kama ulivyouita? Namaanisha ninini motive? Kama motive ni ile ile kuwafanya wanawake wadogo watunze bikra mbona unawaattack wanaume, kosa lao ninini? Ikiwa walitamani kuoa bikra wakakosa probably, au hawakuwa patient enough kutafuta (probably) wakaamua kuoa “mitumba” yao inakuwaje ni kosa hadi “uwaite majina”? Na kama ni kosa ni kwa mujibu wa? kwako? Yaani ulikaa na wenzio mkaamua hili ni kosa ngoja tuwaattack ?

Bottom question, are you frustrated kuona watu wanaendelea kuoana? (Hili najua huwezi kuwa honest kulijibu, jijibu kimya kimya) Kama ndiyo kwanini? Nakuuliza kuhusu neno frustration mara nyingi ni kwasababu ya aina ya maneno uliyoyatumia kwenye uzi wako ambayo yanaonesha wazi kiakili haujatulia. 🤔

Reminder: wanawake tumeshazoea kuwa punching bags za wanaume wenye “frustration tofauti tofauti ” Well and good, kuitwa majina malaya , used, mitumba na mengine ni kama vitu tulivyovizoea…. Kiasi kwamba haishtui tena. Ila hii vita mliyoianzisha kwa wanaume wenzenu binafsi inanishangaza kidogo na inanifanya nijiulize maswali mengi yasiyo na majibu …. Can someone fill me in before sijaanza kutengeneza assumptions zangu?

Mtu yeyote anaweza kujibu swali lolote nililouliza as far as umeelewa, kindly usinijibu kama haujanielewa.

Ukiachana na argument zangu za kutaka kuelewa mambo “fulani”……… nasapoti 💯 wanaume kuoa bikra sababu ndivyo ilivyotakiwa toka mwanzo, na kama kuna mahali zipo kwasasa saidianeni/onesheneni mkapate kujitwalia.
Naomba nikuunge mkono ktk hoja yako japo sio mimi uliyeniuliza.

Mimi nafikiri kuna mambo mengi sana kwa sasa tunapotea sababu tunaenda nje ya nature ambayo Mungu alituwekea na hii inasababishwa na ile dhambi iliyofanyika pale bustani ya Edeni.

Upo sahihi Mungu ameweka bikira kwa mwanamke ili atayakuja kuitoa kupitia ridhaa ya mwanamke mwenyewe basi awe mtawala wa huyo mwanamke kiroho/nafsi.

Mwanamke ameumbwa kutawaliwa na mwanaume, hivi ndivyo Mungu alivyopanga. Sasa mwanaume unapaswa uwe na nguvu ya kumtawala mwanamke, nguvu ya kiuchumi, kiroho, kiakili n.k mwanamke akipata nguvu ya kujiona yupo safe kwa mwanamme wake kiuchumi, kiroho, kiakili n.k sio rahisi mwanamke huyo kuhangaika kwingine. Kwingine vinafatwa vitu ambavyo havipatikani kwa mumewe.

NB: Mwanamke akiishinda tamaa ktk maisha yake, ameshinda sehemu kubwa sana ya maisha yake. Anguko la mwanamke mjinga lipo ktk tamaa na anguko la mwanaume mjinga lipo mwanamke anayemuamini.
 
Umesema vyema
 
Hakuna cha uloser broo?kama huyo mwanaume aliyekutoaa bikraa kama kwelii alikuw anakuheshimu angebaki na kukupenda piaa angebaki "wanasema huwezi kula embe ukaacha kokwa "
 
Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.

Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.

Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.

  • Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi?​
  • Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri.​
  • Wewe loser uliyeoa mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?

  • Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?

  • Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?

Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well

Learn or perish
Bado hujasema
 
Wanawake hata uwafanyie nini, Kama kubondwa atabondwa tu, hata ungempenda vipi, akiamua kubondwa atabondwa tu.

Ishu siyo kuwawazia, uhalisia wa Sasa hivi wanawake wengi, wanabondwa na wanaume tofauti tofauti regardless wanapewa nini na waume wao au wapenzi wao.

Ndoto ya kila binadamu ambaye hajaoa Wala kuolewa ni kupata mwenzi sahihi ambae watashea same feeling, siyo rahisi Kwa maisha ya Sasa hivi, ndiyo maana tunasema ni kumuomba MUNGU tu maana Kwa MUNGU hakuna linaloshindikana.

Utoe pesa, usitoe pesa, uwe handsome, usiwe handsome, then sema mim mwanamke simuwazii sanaaa, say whatever you want to say, uje ukute mke wako kapigwa doggy style ile ya kupandisha mguu juu Kama Spiderman halaf unasikia anatoa miguno ya kimahaba ile ya kufeel machine kabisa, Nakwambia Kama hatujakuzika, tutakushuhudia unaokota makopo, ama unaozea jela🙏
Umeingia mtindo wa watu mliopigwa matukio kujumuisha tatizo kwa wengine ionekane ni kubwa ili kujipa unafuu wa maumivu mliyoyapitia

Ndugu zangu mapenzi ya kweli bado yapo na watu wanafurahia, wanashibana na wanaenjoy sanaaa
 
Muulize huyo mkeo uliyemuoa akiwa sio bikra; Mwanaume wake wa 10 kuwa naye kwenye mahusiano kabla yako kama atamkumbuka, nina uhakika hawezi kumkumbuka.

Ila muulize jina la aliyemtoa bikra atakutajia hata majina yote 3 na the whole process mpaka akabikiriwa ipo kichwani mwake kama tukio la jana tu.

Sikuzote jina lake limejichora katika akili yake mpaka anaingia kaburini, kwa sababu mwanamke huwa hamsahau mwanaume aliyembikiri. Mwamba kaacha chata.

  • Kumbuka inawezekana wanaume hata watano au zaidi wakazaa naye ila ni mwanaume mmoja tu ndiye aliyemtoa bikira. Sijui wewe loser kama umeielewa hiyo sentensi?​
  • Anaweza kulala na wanaume zaidi ya watatu na asimjue aliyemtia mimba lakini kamwe hatamsahau aliyembikiri.​
  • Wewe loser uliyeoa mwanamke asiye bikra, una uhakika huyo mtoto/watoto ni wako?

  • Last man una uhakika hiyo mimba ni yako?

  • Je, unatambua kuwa kuna wanaume wengi ambao ni ex zake wanajua weaknesses za mkeo na wakiamua kutia kambi hachomoi?

Wewe uliyeoa mwanamke asiye bikira you are a last man you are a loser as well

Learn or perish
Haijalishi manake sisi wengine tulioa Pemba tumewakuta nazo japo kuna maneno flani tunasikia mitaani kuwa ni one sided virginity but we don't care
 
Umeingia mtindo wa watu mliopigwa matukio kujumuisha tatizo kwa wengine ionekane ni kubwa ili kujipa unafuu wa maumivu mliyoyapitia

Ndugu zangu mapenzi ya kweli bado yapo na watu wanafurahia, wanashibana na wanaenjoy sanaaa
Yeah ni kweli, mapenzi ya kweli yapo lakini pia nilichokiongea pia kipo na sahihi. Utawaambiaje watu walipigwa matukio? Utawaambiaje watu ambao hawajawahi kupigwa na matukio?

Mke/ demu wako anaweza akawa anat*mbwa na usijue na akawa anakupenda vile vile. Sema tu bado hujakua, hata wazee wa zamani walikuwa na utaratibu wao, akirudi nyumbani kabla ya kuingia ndani lazima akohoe kwanza au nk

Huo ndo uhalisia, omba yasikukute.
 
Hizo mada wanawake hawazipendi japo zina ukweli.
Watakimbilia tafuta hela.,Lakini uko sahihi hata kama watakipinga,kuna wanaume hawana hela lakini wamepata perfect women na wanaenjoy maisha.
 
bikira 🤣🤣
ili asikusahau siku ukitangulia mbele za haki si ndiyo?

kwa mawazo hayo wajane kazi wanayo
 
Back
Top Bottom