Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Tusamehe Mkuu
 
Kwa waliooa bikra,mmegundua nini baada ya mwaka mmoja wa ndoa?
nanyi leteni mrejesho.
 
Lengo turudi kwenye misingi ya tendo la ndoa kwa wanandoa pekee.
Wakati huo mkiwahold accountable wanaume ambao ni chanzo cha haya ? Au wenyewe wako eligible kuendeleza uharibifu sababu ni wanaume?

Najaribu kufikiri ukiacha wanawake wachache ambao bikra zetu zimetolewa tukiwa wakubwa na tunajielewa na tunajua tunachofanya, by wakubwa namaanisha 20’s.

Mabinti wengi wanaotokea familia masikini hutokewa bikra wakiwa bado teens na wakaka ambao wakubwa kwao wanaomiliki favor flani flani (usafiri, chakula, mavazi, gheto etc) Hawa ndio hawa walaghai wakubwa wa mabinti wadogo, Mabinti wengi kutoka familia zinazojiweza hutolewa bikra mara nyingi na boyfriend zao (secondary, high school etc) Kidogo wao wanaweza fikisha up to 19,20 na kuendelea wakiwa bado hawajaguswa na “manipulators” na kigezo ni kwakuwa manipulators wengi wanatumia uchumi kuwakamata mabinti wadogo.

Tufanyeje? Je tuiunge Mkono ile sheria ya umri wa binti kuolewa uwe 13 years kusudi muwakute wakiwa mabikra? Kuweni honest kati yenu wanaume wangapi wanataka kuoa binadamu mwenye miaka 13?

Au tuombe somo la utunzaji wa bikra liwekwe primary, form one na for 2? Au turudishe mabinti mkoleni? au? au?
 
Mimi mwanaume.
Wewe kuwa mwanaume inakuondoa vipi kwenye kundi la watu wa hovyo, waliojiharibu kabla ya kuoa. Huoni hata wewe unaweza kuingia kwenye ndoa na mentality za kihuni? Au unadhani ni mwanamke pekee wa kutengeneza ndoa?
 
Usikubali kutolewa bikra kwa sababu yoyote ile mpaka siku utakapoingia kwenye ndoa, tofauti ya hapo umekubali kuwa used.
 
Wewe kuwa mwanaume inakuondoa vipi kwenye kundi la watu wa hovyo, waliojiharibu kabla ya kuoa. Huoni hata wewe unaweza kuingia kwenye ndoa na mentality za kihuni? Au unadhani ni mwanamke pekee wa kutengeneza ndoa?
Mwanamke anapimwa kwa ubikra,
Mwanaume ninapimwa kwa uwezo wa ku-provide.
Hatuko sawa.
 
Umeonyesha akili kubwa sana kwenye hii reply yako
 
Kwa hiyo wewe na mkeo mko damaged?
 
Mungu hakukosea aliposema wanaume tuoe wanawake bikira. Kama unabishana na aliyemuumba mwanamke bishana naye
Kumbe JF pia kuna incels? Mentality kama hizi ndizo husababisha msongo wa mawazo hatimaye kudhuru watu au kujidhuru mwenyewe. Unahitaji msaada wa kisaikolojia haraka.
 
Mungu hakukosea aliposema wanaume tuoe wanawake bikira. Kama unabishana na aliyemuumba mwanamke bishana naye
Bahati mbaya huyo wako bikra akikuchoka tutaanza kumla kirahisi tu
 
Kumbe JF pia kuna incels? Mentality kama hizi ndizo husababisha msongo wa mawazo hatimaye kudhuru watu au kujidhuru mwenyewe. Unahitaji msaada wa kisaikolojia haraka.
Kati ya mimi na wewe unafikiri nani anahitaji msaada wa kisaikolojia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…