Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wewe. Seriously, you need to talk to somebody kabla hujaharibu. Msimamo wako utakupeleka kubaya.
Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe alimchagua bikira Mariamu abebe mimba ya Yesu?

Wewe umeshadhulumiwa na huyo mwanamke umemuoa akiwa sio bikra na umelipia na mahari kabisa
 
Jiulize kwa nini Mungu mwenyewe alimchagua bikira Mariamu abebe mimba ya Yesu?

Wewe umeshadhulumiwa na huyo mwanamke umemuoa akiwa sio bikra na umelipia na mahari kabisa
Unanizungumzia wakati hata hunifahamu. Unazidi kudhihirisha kwamba una matatizo ya kisaikolojia. Tafuta msaada Mkuu.
 
Bikra inasaidia nn ata uyo asie bikra anaweza kuirudisha na ukalia kma mbuzi usahau izo story apo
 
Naomba nikuunge mkono ktk hoja yako japo sio mimi uliyeniuliza.

Mimi nafikiri kuna mambo mengi sana kwa sasa tunapotea sababu tunaenda nje ya nature ambayo Mungu alituwekea na hii inasababishwa na ile dhambi iliyofanyika pale bustani ya Edeni.

Upo sahihi Mungu ameweka bikira kwa mwanamke ili atayakuja kuitoa kupitia ridhaa ya mwanamke mwenyewe basi awe mtawala wa huyo mwanamke kiroho/nafsi.

Mwanamke ameumbwa kutawaliwa na mwanaume, hivi ndivyo Mungu alivyopanga. Sasa mwanaume unapaswa uwe na nguvu ya kumtawala mwanamke, nguvu ya kiuchumi, kiroho, kiakili n.k mwanamke akipata nguvu ya kujiona yupo safe kwa mwanamme wake kiuchumi, kiroho, kiakili n.k sio rahisi mwanamke huyo kuhangaika kwingine. Kwingine vinafatwa vitu ambavyo havipatikani kwa mumewe.

NB: Mwanamke akiishinda tamaa ktk maisha yake, ameshinda sehemu kubwa sana ya maisha yake. Anguko la mwanamke mjinga lipo ktk tamaa na anguko la mwanaume mjinga lipo mwanamke anayemuamini.
 
Umesema vyema
 
Hakuna cha uloser broo?kama huyo mwanaume aliyekutoaa bikraa kama kwelii alikuw anakuheshimu angebaki na kukupenda piaa angebaki "wanasema huwezi kula embe ukaacha kokwa "
 
Bado hujasema
 
Umeingia mtindo wa watu mliopigwa matukio kujumuisha tatizo kwa wengine ionekane ni kubwa ili kujipa unafuu wa maumivu mliyoyapitia

Ndugu zangu mapenzi ya kweli bado yapo na watu wanafurahia, wanashibana na wanaenjoy sanaaa
 
Haijalishi manake sisi wengine tulioa Pemba tumewakuta nazo japo kuna maneno flani tunasikia mitaani kuwa ni one sided virginity but we don't care
 
Umeingia mtindo wa watu mliopigwa matukio kujumuisha tatizo kwa wengine ionekane ni kubwa ili kujipa unafuu wa maumivu mliyoyapitia

Ndugu zangu mapenzi ya kweli bado yapo na watu wanafurahia, wanashibana na wanaenjoy sanaaa
Yeah ni kweli, mapenzi ya kweli yapo lakini pia nilichokiongea pia kipo na sahihi. Utawaambiaje watu walipigwa matukio? Utawaambiaje watu ambao hawajawahi kupigwa na matukio?

Mke/ demu wako anaweza akawa anat*mbwa na usijue na akawa anakupenda vile vile. Sema tu bado hujakua, hata wazee wa zamani walikuwa na utaratibu wao, akirudi nyumbani kabla ya kuingia ndani lazima akohoe kwanza au nk

Huo ndo uhalisia, omba yasikukute.
 
Hizo mada wanawake hawazipendi japo zina ukweli.
Watakimbilia tafuta hela.,Lakini uko sahihi hata kama watakipinga,kuna wanaume hawana hela lakini wamepata perfect women na wanaenjoy maisha.
 
bikira 🤣🤣
ili asikusahau siku ukitangulia mbele za haki si ndiyo?

kwa mawazo hayo wajane kazi wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…