Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


Wakati huo na ww ukiwa bikra au?

Kuna wakati mnawaonea Sana wanawake

Wewe mpaka Leo umelala na wanawake wangapi? Why ushangae yeye kuwa na wanaume kumi ?

Kama wewe umeweza kubadilisha mpaka wamefika kumi why yeye asibadilishe?
 
Bikra ni agano ndio maana kuna damu
Wewe ulipianza kufanya damu ilitoka?

Damu hata mtu ambae amezaa inaweza kutoka ukisex nae, na unaweza kumtoa mtu bikra na damu isitoke Acha kukariri mambo
 
We ni gashow tu, ukitaka kuamini nipe namba za huyo mkeo bikra uone kama baada ya miezi mitatu atakuwa anakukumbuka hata jina lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…