Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Ndiyo mkuuAliyosema kuhusu mwanaume kumtekelezea mwanamke unayafanya?
Mi nimeoa bikra ila sijawahi kuona big deal kama ambavyo unaleta mboyoyo humu.Hizi zote ni hasira za kususiwa huyo mwanamke uliyemkuta used wenzako wamemtumia wamemkojolea umekuja kuokota makombo. Hiyo siyo shida yetu ni shida yako
Wakati huo na ww ukiwa bikra au?
Kuna wakati mnawaonea Sana wanawake
Wewe mpaka Leo umelala na wanawake wangapi? Why ushangae yeye kuwa na wanaume kumi ?
Kama wewe umeweza kubadilisha mpaka wamefika kumi why yeye asibadilishe?
Mi nimeoa bikra ila sijawahi kuona big deal kama ambavyo unaleta mboyoyo humu.
Mungu hakumuumba mwanaume awe na kitu cha kumjua ni bikra
Lakini alimuumba mwanamke akiwa na hymen ambayo inakujulisja ikiwa ni mtumna au kitu sealed
Kutombwa nje tu tayari ina maana hakupendi
Kama watu watafikiria ni mifumo dume fresh tu! Daudi mfalme alikuwa na wake wangapi? Waislam wanaona mwanamke zaidi ya mmoja hiyo ni sheria ya dini ya kiislam, fatilia sheria hyohyo huwezi kukuta mwanamke mmoja mwenye mume zaidi ya mmoja. We hujiulizi kwann?Wakati huo na ww ukiwa bikra au?
Kuna wakati mnawaonea Sana wanawake
Wewe mpaka Leo umelala na wanawake wangapi? Why ushangae yeye kuwa na wanaume kumi ?
Kama wewe umeweza kubadilisha mpaka wamefika kumi why yeye asibadilishe?
Hakuna demu anayekupenda akakubali kuvuliwa chupi na mwanaume mwengine, NeverYeah ni kweli, mapenzi ya kweli yapo lakini pia nilichokiongea pia kipo na sahihi. Utawaambiaje watu walipigwa matukio? Utawaambiaje watu ambao hawajawahi kupigwa na matukio?
Mke/ demu wako anaweza akawa anat*mbwa na usijue na akawa anakupenda vile vile. Sema tu bado hujakua, hata wazee wa zamani walikuwa na utaratibu wao, akirudi nyumbani kabla ya kuingia ndani lazima akohoe kwanza au nk
Huo ndo uhalisia, omba yasikukute.
Aya wasio na Bikra typing.....Utengenezaji wa bidha viwandani huwa wanaweka kitu kinachoitwa SEAL. Bidha yenye SEAL maana yake ni mpya, haijaguswa na MTU yeyote.
Ukiona product haina SEAL, hiyo ni used, maana yake Imetumika.
Kikawaida bidha iliyotumika inakuwa sio bora na ni hatari sana Kuitumia. Kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama kubwa kwenye matumizi yake. Bidha mpya ni smooth Kuitumia. Haisumbuwi. Mfano, Nunua simu mpya dukani au Nunua simu used kwa MTU. Utaona simu used itakusumbuwa tu Kuitumia.
Sasa Mungu aliweka kitu kinachoitwa BIKRA kwa wanawake. BIKRA ni SEAL ya MWANAMKE. Ina maana sana, sana, sana.
MWANAMKE BIKRA ni bidha mpya. Ni bidha original kabisa. Matumizi ya bidha mpya ukiipata ni smooth sana. Unateleza tu.
Zifuatazo ni faida za kuoa BIKRA
1) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusumbuwa. Anakuwa mti sana
2) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusaliti hata kama unaisha naye mbali.
3) Watoto wako wanakuwa na afya ya kimwili na kiroho maana njia ya mkeo haijawahi kupitisha uchafu wowote
4)Mwanamke BIKRA anakujuwa wewe tu dunia nzima. Hamjui mwanamme mwingine, kwa hiyo ni rahisi kumuongoza. Mwanamke BIKRA amebarikiwa sana na Mungu. Huwezi kupata Magonjwa ya zinaa.
5) Mwanamke BIKRA ni mwaminifu ktk mambo ya fedha
Faida zipo nyingi.
Ukioa mwanamke ambayo sio BIKRA Mara nyingi inakuwa kinyume chake.
Ni real mkuu mfano mchukue mwajuma wa buza kwa rulenge au kwa mpalange na kibona wa uyole piga nao shoo utaona utofauti wake aiseeBikira sio kitu real, ni myth tu, ni idea tu iliyotengenezwa na wanaume katika jamii za kale.
Wanakuchosha tyuHaya ili mtuoe wakaka wa jf mnataka bikira au tako?,,mnatuchanganya mjue,,ili nkienda uturuki nijue nanunua bikira au tako,vyote vipo sokoni sasa ni simple tu,hata sura mkitaka tunanunua.
ndo kazi yao humuWanakuchosha tyu