Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ukitaka bikira kubali 30 au maisha vinginevyo hamna bikira nje ya 30 na maisha
 
Mm naendaga direct nataka hio kitu, et wanasema hivo ndo umenitongoza nasema Sina muda wakutongoza mtu ambae sio bikra Nini ambacho hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],nianze kubembeleza ninahuo muda sasa[emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu we upo kama mimi. Nikipata upwiru tu naomba mechi direct. Huwasipotez muda.
 
Ahsante sana bro kwa uzi wenye elimu kubwa sana, Ubarikiwe. Nimechelewa kuuona huu uzi kwakua kipindi umeandika nilikua form two, sikuwa natumia sana simu ingawa nilikua nayo😂😂 kitambo sana
Kiufupi hata mimi sitaoa mwanamke ambaye sio BIKRA
 
Kuna mada nimezipitia humu JamiiForums zinazo wakumbusha wanaume wenzangu kuoa mwanamke BIKRA aliejitunza na sio hawa waliotumika nimegundua wanawake wengi wanachukizwa sana ila moyoni wanamajuto yaliyopitiliza ila ndio hamna namna inabidi wajifanye kuchukia ila ukweli ndio huo!

Bikra kwa mwanamke ni ishara ya uaminifu na heshima pamoja na mlezi mazuri, kamwe mwanamke bikra na mwanamke mzinifu hawawezi kufanana hata kidogo hilo mlijue.

Mwanamke used mme wake ni yule alie mbikiri hata kama hawakuoana na ukimuoa jua kwamba umeona mke wa mtu, chochote utakacho fanya nae chumbani jua ya kwamba kuna wanaume wengi Wamefanya tena zaidi yako na siku yoyote anaweza kuonana na ma X wake, pia hatokuja kumsahau alie mbikiri mpaka anaingizwa kaburini.

Mungu alikua na maana yake kuweka bikra kwa mwanamke.
 
Kuna baadhi ya bikra hutolewa utotoni. Na nyingine hutolewa na relatives(mtoto wa mjomba, mabinamu, mara mtoto wa shangazi n.k)

Watu huteleza na kuinuka. Bila makosa hamna maana ya kujifunza. No perfect one. Even our Lord sometimes used angry to judge.

Hatuwezi kujaji au kupima thamani ya mke kwa kutumia bikra. Ndoa za zamani zilikuwa na bikra lakini je, zote zilidumu?

Finally, mapenzi ni ajali. Huja bila kutegemea. Mara paa unajikuta kwa single mother tayari.
Asante
 
Naona threads nyingi zinatukumbusha tuoe bikra.

Mimi ni kijana nimejitafuta. Kwa sasa nimejipata. Kipindi hicho wa kuvumilia shida zangu ilikuwa ngumu maana nilijaribu na nikashindwa. In short kwenye chain yangu sina mwanamke zaidi ya mama na ndugu zangu.

Kwa sasa niko single hapo nahitaji young and fresh woman (bikra).

Sasa nampataje?

Hapa mjini uongo, huko bush nitokako nako hapasomeki!

Naombeni techniques
 
Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako

Habarini Wakuu.

Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka dunia salama hasa katika kipengele cha mahusiano ndani ya ndoa.

Haijalishi tulikosea wapi na kujikwaa wapi. Makosa tuliyoyafanya tuhakikishe hayajitokezi kwa wana na binti zetu. Ili familia zetu ziweze kuwa bora na zenye baraka kwa Mungu.

Bikra ni alama aliyopewa mwanamke kuthibitisha kuwa hajaguswa na mwanaume. Kwa nini Mwanamke apewe alama hii? Nitakupa mfano, Ukienda kununua kitu dukani kuna alama fulani huwekwa katika kitu husika ikiashiria kitu hicho ni kipya. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke, bikra ni uthibitisho namba moja kuonyesha mwanamke husika ni kigoli, mwanawali na ambaye hajaguswa. Mwanaume hajapewa alama hii kwani yeye hayupo kwaajili ya mwanamke bali mwanamke kwaajili ya mwanaume. Hivyo ni kusema mwanaume ndiye mwenye wajibu wakumtafuta mwanamke kama bidhaa yenye thamani kushinda zote duniani.

Ili ndoa zetu zidumu lazima jambo hili lizingatiwe. Watu wengi wanachukulia ni jambo jepesi lakini athari zake zinaonekana. Usishangae kusikia watu kudhihakiana kwa majina elfu. Mara kibamia, sijui Bwawa haya yote ni matokeo ya kuoa wanawake wasio bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…