Grim Langdon
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 774
- 2,262
😂Watu wana defense mechanism aiseee, (eti kwani we ni bikra).Hapo sasa
Sijadanganya mtu mkuu, ni swali kama maswali mengine tuu, 😂😂😂acheni watoto wa watu wasome.. Na wala sijasema asitafute anachohitaji bali apewe anachostahili..😂Watu wana defense mechanism aiseee, (eti kwani we ni bikra).
Usidanganywe mkuu bikra ni mwanamke ndo anakatwa utepe sio mwanaume we tafta bikra kitu zero kilomita, weka ndani ufurahie maisha.
Hao viongozi wenyewe wametafuta wamezikosaNenda kwa viongoz wako wa din waelezi shida yako watakusaidia..!
Wamejaa kibao buguruni na tandale mkuuNaona threads nyingi zinatukumbusha tuoe bikra.
Mimi ni kijana nimejitafuta. Kwa sasa nimejipata. Kipindi hicho wa kuvumilia shida zangu ilikuwa ngumu maana nilijaribu na nikashindwa. In short kwenye chain yangu sina mwanamke zaidi ya mama na ndugu zangu.
Kwa sasa niko single hapo nahitaji young and fresh woman (bikra).
Sasa nampataje?
Hapa mjini uongo, huko bush nitokako nako hapasomeki!
Naombeni techniques
Sasa tangu lini mwanaume akawa bikira. Anaekatwa utepe ni mwanamkeWewe ni bikra bado mkuu? 😂😂
Maana haiwezekaniii umeshafilimba hukoo wanawake kibao halafu unataka kuja kutulia na bikra, Mungu akupe unachostahili😂..
Hujaelewa nilichomaanisha mkuu😂Sasa tangu lini mwanaume akawa bikira. Anaekatwa utepe ni mwanamke
Ni tandale ipi hiyo mbona nimekaa sana hiyo mitaa na sikuwapataWamejaa kibao buguruni na tandale mkuu