Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Point chief1. Kutanuka kwa k sii kwa vile inatumika sana bali maumbile ya mtu.
Ahahaha..anatumika mnooo, namla mpaka nahis kuvuka mpaka ila kitu bado tight mnooNote: mwanamke mwenye ndoa anatumika sana tena karibu walingane na wanaojiuza...kwa wiki sio chini ya mara 4×2
Hatari sana.anakuwa mwoga mwoga yaani sometime unajihs mbakaji kumbe upo na mwanamke wako
Kwahiyo awe na tumbo kubwa?Tako
Tumbo
Titi
SI utafika 30 TU ya ushangazi, we ngoja itafika chap.Kwahyo sisi wenye miaka 27 ni mishangazi dah nimeumia sana
Shukrani, ila hapanaKaka wamejaa mpaka wanamwagika huku, nikupunguzie??
Hapana kuna tumbo flan hv wanakuaga nayo mashangaziKwahiyo awe na tumbo kubwa?
Bora hata mwenye tako, sasa mnapenda wenye matiti makubwa kwaajili gani sasa mbona mimi naona hainogi.Hapana kuna tumbo flan hv wanakuaga nayo mashangazi
Bado ujaingia katika mfumo..Bora hata mwenye tako, sasa mnapenda wenye matiti makubwa kwaajili gani sasa mbona mimi naona hainogi.
Hawa wenye Bikra anahakikisha Hiyo Bikra unaigharamia kweli kweli.Balaa likaanza Binti ni kiburi balaa alafu akikasirika anapandishiana maneno na mimi yaani ile hulka ya adabu ya mke kwa mume hana, cha pili utoto mwinngi na linapokuja swala la sex anakuwa mwoga mwoga yaani sometime unajihs mbakaji kumbe upo na mwanamke wako
Titi, tako na nini??Weee T3 ni sifa ambazo kila mshangzi lazima awe nazo kama hana hivo vigezo awezi kuwa mshangazi
Tumbo....Titi, tako na nini??
Kwamba kitambi ??Tumbo....
Mkuu mbona unasahau mambo muhimu hvo na wewe
Yaah kitambi flan hv unyama....Kwamba kitambi ??
Mkuu umehitimisha kwa kujumuisha wanawake wote, hii si sawa.
Kuna msemo wadau wanasemaga "si kila mzee ni anabusara hata wapumbavu huwa wanazeeka" na kinyume chake pia ni sawa
Kwahiyo mkuu mambo mengine ni tabia za mtu kulingana na vinasaba na mazingira anayoishi (tamaduni, malezi, nk),
By default wanawake wote walikua bikra kama ni hivyo hawa micharuko mitaani humu kiliwakuta nini bila shaka ni mazingira(tamaduni mila na desturi).
Mi nakushauri siku nyingine ukitaka Mke bora intergrated wife materials finding technique(IWFT) 😄😄😄
Utatumia mbinu mbalimbali ila mbinu kutilia kipaumbele ni ile ya kuangalia jamii(kuna makabila yapo vizuri(kama vile Wahehe na Wabena)) ila kwakua utandawazi umekua, sikuhizi kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo... Hapa sasa ndio kanuni yetu inakuja kutumika, (IWFT) 😁 😁.
Njia kuu ni kutumia dhamira ya dhati kupitia imani, hii njia unaweza ukapata Mke bora kutoka sehemu yoyote ile na hata sehemu usioitarajia. Yaani unaweza kuokota dodo kwenye nguzo za umeme zile za chuma(unaweza ukapata Mke bora aliyetulia kutokea kwenye madangulo wanakojiuza wanawake kule.(usigune wanawake wanaojiuza na wasiojiuza wote kwa asilimia kubwa ni sawa tu hawana tofauti, ila tofauti yao ni huyu mmoja yeye kaamua kujirasimisha (kajibradi)😂😂😂 ila kuna vishoka wanapiga show/wanaingiza mapato kushinda huyu aliesajiri biashara.
"One in a million" Kwahiyo kupitia Imani /dhamiri /nadhili inaweza kukukutanisha na wife material hata kama alikua mmoja tu katika jamii/kundi la/yenye watu million moja.
Huyo ajitambuiHivi mdada wa miaka 27 nae ni mshangazi?wewe una 31 mmepishana miaka minne unamwita mshangazi kweli!
Nakuhitaj Kwenye NdoaNilitumia hi mbinu 👉 Imani, dhamiri na nadhili ni nzuri ila inahitaji commitment ya hali ya juu Sana b'se unapokutana na mwanamke for the first time na tabia zile za asili kama kiburi, jeuri na TAMAA ni ngumu sana kumhandle ila ukilenga (i.e kuwa na lengo) utahandle na utajenga aina ya mke unaemuhitaji katika MAISHA yako
Lakini inahitaji MWANAUME mwenye akili na HEKIMA na Sio mwenye kiburi cha uzima na TAMAA