Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Balaa likaanza Binti ni kiburi balaa alafu akikasirika anapandishiana maneno na mimi yaani ile hulka ya adabu ya mke kwa mume hana, cha pili utoto mwinngi na linapokuja swala la sex anakuwa mwoga mwoga yaani sometime unajihs mbakaji kumbe upo na mwanamke wako
Hawa wenye Bikra anahakikisha Hiyo Bikra unaigharamia kweli kweli.

Ndio maana waliowatoa bikra huwa hawawoi. Kibri, ujeuri, andhani hiyo Bikra ni dhahabu.

Na ukimuoa akapata mimba Braza umekwisha. Anakudrain kila kitu.

Unakuwa mtumwa, kujiliza kila wakati, akiingia period mtaa mzima unajua Mke wako yuko MP, mimba full kutapika kana kwamba Yeye ndiye Mwanamke wa Kwanza Duniani kupata mimba.

Ndio hawa Single Mazas. Yaani anakuboa hadi unaamua kubwaga manyanga
 
Hivi mdada wa miaka 27 nae ni mshangazi?wewe una 31 mmepishana miaka minne unamwita mshangazi kweli!
 
Mkuu umehitimisha kwa kujumuisha wanawake wote, hii si sawa.

Kuna msemo wadau wanasemaga "si kila mzee ni anabusara hata wapumbavu huwa wanazeeka" na kinyume chake pia ni sawa

Kwahiyo mkuu mambo mengine ni tabia za mtu kulingana na vinasaba na mazingira anayoishi (tamaduni, malezi, nk),

By default wanawake wote walikua bikra kama ni hivyo hawa micharuko mitaani humu kiliwakuta nini bila shaka ni mazingira(tamaduni mila na desturi).

Mi nakushauri siku nyingine ukitaka Mke bora intergrated wife materials finding technique(IWFT) 😄😄😄

Utatumia mbinu mbalimbali ila mbinu kutilia kipaumbele ni ile ya kuangalia jamii(kuna makabila yapo vizuri(kama vile Wahehe na Wabena)) ila kwakua utandawazi umekua, sikuhizi kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo... Hapa sasa ndio kanuni yetu inakuja kutumika, (IWFT) 😁 😁.

Njia kuu ni kutumia dhamira ya dhati kupitia imani, hii njia unaweza ukapata Mke bora kutoka sehemu yoyote ile na hata sehemu usioitarajia. Yaani unaweza kuokota dodo kwenye nguzo za umeme zile za chuma(unaweza ukapata Mke bora aliyetulia kutokea kwenye madangulo wanakojiuza wanawake kule.(usigune wanawake wanaojiuza na wasiojiuza wote kwa asilimia kubwa ni sawa tu hawana tofauti, ila tofauti yao ni huyu mmoja yeye kaamua kujirasimisha (kajibradi)😂😂😂 ila kuna vishoka wanapiga show/wanaingiza mapato kushinda huyu aliesajiri biashara.

"One in a million" Kwahiyo kupitia Imani /dhamiri /nadhili inaweza kukukutanisha na wife material hata kama alikua mmoja tu katika jamii/kundi la/yenye watu million moja.


Nilitumia hi mbinu 👉 Imani, dhamiri na nadhili ni nzuri ila inahitaji commitment ya hali ya juu Sana b'se unapokutana na mwanamke for the first time na tabia zile za asili kama kiburi, jeuri na TAMAA ni ngumu sana kumhandle ila ukilenga (i.e kuwa na lengo) utahandle na utajenga aina ya mke unaemuhitaji katika MAISHA yako



Lakini inahitaji MWANAUME mwenye akili na HEKIMA na Sio mwenye kiburi cha uzima na TAMAA
 
Nilitumia hi mbinu 👉 Imani, dhamiri na nadhili ni nzuri ila inahitaji commitment ya hali ya juu Sana b'se unapokutana na mwanamke for the first time na tabia zile za asili kama kiburi, jeuri na TAMAA ni ngumu sana kumhandle ila ukilenga (i.e kuwa na lengo) utahandle na utajenga aina ya mke unaemuhitaji katika MAISHA yako



Lakini inahitaji MWANAUME mwenye akili na HEKIMA na Sio mwenye kiburi cha uzima na TAMAA
Nakuhitaj Kwenye Ndoa
 
Back
Top Bottom