Mkuu umehitimisha kwa kujumuisha wanawake wote, hii si sawa.
Kuna msemo wadau wanasemaga "si kila mzee ni anabusara hata wapumbavu huwa wanazeeka" na kinyume chake pia ni sawa
Kwahiyo mkuu mambo mengine ni tabia za mtu kulingana na vinasaba na mazingira anayoishi (tamaduni, malezi, nk),
By default wanawake wote walikua bikra kama ni hivyo hawa micharuko mitaani humu kiliwakuta nini bila shaka ni mazingira(tamaduni mila na desturi).
Mi nakushauri siku nyingine ukitaka Mke bora intergrated wife materials finding technique(IWFT) 😄😄😄
Utatumia mbinu mbalimbali ila mbinu kutilia kipaumbele ni ile ya kuangalia jamii(kuna makabila yapo vizuri(kama vile Wahehe na Wabena)) ila kwakua utandawazi umekua, sikuhizi kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo... Hapa sasa ndio kanuni yetu inakuja kutumika, (IWFT) 😁 😁.
Njia kuu ni kutumia dhamira ya dhati kupitia imani, hii njia unaweza ukapata Mke bora kutoka sehemu yoyote ile na hata sehemu usioitarajia. Yaani unaweza kuokota dodo kwenye nguzo za umeme zile za chuma(unaweza ukapata Mke bora aliyetulia kutokea kwenye madangulo wanakojiuza wanawake kule.(usigune wanawake wanaojiuza na wasiojiuza wote kwa asilimia kubwa ni sawa tu hawana tofauti, ila tofauti yao ni huyu mmoja yeye kaamua kujirasimisha (kajibradi)😂😂😂 ila kuna vishoka wanapiga show/wanaingiza mapato kushinda huyu aliesajiri biashara.
"One in a million" Kwahiyo kupitia Imani /dhamiri /nadhili inaweza kukukutanisha na wife material hata kama alikua mmoja tu katika jamii/kundi la/yenye watu million moja.