Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hakuna demu anayekupenda akakubali kuvuliwa chupi na mwanaume mwengine, Never

Kama umewahi kuwa na demu wa namna hiyo hakua anakupenda bro huyo alikua kahaba mzoefu.
Mwanamke anaweza kulala na mwanaume mwengine lakini anakupenda au akalala na wewe lakini ana mpenzi wake anayempenda

Mwanamke anaweza kupenda mwanaume zaidi ya mmoja yes mmoja ikawa ngumu kwake kuchagua
 
Mzee wangu kigezo kikubwa cha Sisi WANAUME kutaka wanawake bikra ni kupata asilimia kubwa katika uwaminifu.

Mzee wangu hivi ushawahi kugongewa demu yani kujua Tu demu/mke wako anagongwa nje, maumivu yake unayajua Mzee wangu?
Hata huyo bikra unaweza mtoa na bado ukagongewa
 
Mwanamke anaweza kulala na mwanaume mwengine lakini anakupenda au akalala na wewe lakini ana mpenzi wake anayempenda

Mwanamke anaweza kupenda mwanaume zaidi ya mmoja yes mmoja ikawa ngumu kwake kuchagua
Unaelewa maana ya neno UPENDO lakini ?
 
Moira, ngono, kubet,
Hv vijana wa bongo wangekuwa na uchumi, mzuri kama vijana wa Taiwan, Korea kusini, Japan, wangepoteza muda mwingi kuzungumzia ngono, tendo la ndoa, nguvu za kiume,?
Kama vitu hv(nguvu za kiume, Moira, ngono,)vinakusumbua/kuchukua muda wako mwingi, wewe huna future, utabaki kuwa mediocre! Upo upo tu,
 
Usituige
 
Samahani, Wewe ni mwanaume au mwanamke ?
 
Hapana . Lakini kuto oa mwanamke bikra sio kigezo cha kupoteza maana hata mimi nilikuwa muharibifu na nilizitoa kadhaa kuwaponda wasio bikra itakuwa ni unafki
Point ingekuwa nzur kama ungesema waliowahi kutoa bikra wasioe bikra
 
Get yourself an older woman born between 1998 - 2001 and settle down
 
Chonde chonde tunaomba msiende kuvibaka vitoto vyetu shuleni kwasababu ya kutafuta huo ujinga wa bikra!!! Tafuteni mizeee mienzenu muendelee kutoana bikra!! Tunaomba san
 
Get yourself an older woman born between 1998 - 2001 and settle down
If she ain't a feminine virgin she is a whore

A non virgin has been molded to the standard of the streets, making it impossible for any man to remold her

This is why when a man tries saving a hoe he ends up learning the hard way
 
Inategemea baada ya hapo uliishi nae vipi na ilikuaje,

Labda nkuulize haya yote yamekutokea wewe mwenyewe ? [emoji848]
Nishawahi kuwa na uhusiano nao ndio maana nakwambia kutulia ni tabia ya mtu


Wengi wenu hamajawahi Kutana nao ndio maana mnaongea mnakariri. Na wanaume ambao hawajawahi kuwa nao na kuzitoa ndio mna moto nao sana [emoji23]
 
Unaelewa maana ya neno UPENDO lakini ?
Anakupenda ukizidiwa kete anampenda mwengine . Akili kichwani mwako. Halafu ampate anayejua mapenzi kuliko wewe upendo unaisha [emoji23] of course kukusahau hawezi kama vile wewe ulivyo huwezi sahau mwanamke wako wa kwanza haimaanishi unampenda




Kupenda ni tofauti na kutokusahau


Maana kuna wengine wanakuwa raped
Wanapoteza virginity zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…