MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Mwanamke anaweza kulala na mwanaume mwengine lakini anakupenda au akalala na wewe lakini ana mpenzi wake anayempendaHakuna demu anayekupenda akakubali kuvuliwa chupi na mwanaume mwengine, Never
Kama umewahi kuwa na demu wa namna hiyo hakua anakupenda bro huyo alikua kahaba mzoefu.
Mwanamke anaweza kupenda mwanaume zaidi ya mmoja yes mmoja ikawa ngumu kwake kuchagua