Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hilo lazima lizingatiwe
Natanguliza shukrani!! Maana imezuka tabia kwa baadhi ya watu hasa hawa wapenda bikra kufocus na watoto wetu wanaosoma shule za msingi na sekondar

Waalimu wakiume hasa shule za msingi na sekondari mjichunge sanaa maana hizi tabia nyie ndo mnaozifanya sanaaa....
" Hii ni kwa mujibu wa baadhi ya wanawake ambao walishamaliza shule, nilipata kusikia baadhi ya story zao wakiwa shule ya msingi na sekondari" hasa shule za msingi

Binafsi nachukia sana watu wa sampuli hio!!.
(Tafuteni bikra za kuanzia chuo Kikuu huko)
 
Waalimu wa shule za msingi na sekondari acheni kutuharibia watoto wetu
 
Nishawahi kuwa na uhusiano nao ndio maana nakwambia kutulia ni tabia ya mtu


Wengi wenu hamajawahi Kutana nao ndio maana mnaongea mnakariri. Na wanaume ambao hawajawahi kuwa nao na kuzitoa ndio mna moto nao sana [emoji23]
Mkuu nna watoto wawili kwa mwanamke ambae mimi ndiye mwanaume wake wa kwanza

Sikuulizi maswali kwa bahati mbaya

Ila wewe ndio unanipa mashaka na madai yako sasa ( Nadhani ni wale watu mmepigwa sana matukio kwenye maswala yanayohusu mahusiano kwahiyo huwezi kuwa na mtazamo chanya kuhusu mapenzi )
 
Ebu tulia kwanza, unaandika huku unakimbia au ? Sijaelewa point hata moja hapa
 
Ebu tulia kwanza, unaandika huku unakimbia au ? Sijaelewa point hata moja hapa
Point Ni bikira sio kigezo cha mke bora una kichwa kigumu ndio maana huelewi

Utakuta binti kapoteza bikra kwa kubakwa kwa vigezo vyenu sio mke bora .
 
Hujamkuta mke bikra huwezi kuwa mshamba hivi [emoji23][emoji23]

Una kaushamba nazo ukikutana nazo mbili tatu utaelewa.
Unajifariji tu .
 
💉🔨
 
 

Attachments

  • Futa-Talaka-Ministry_20250113_2.mp4
    10.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…