Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Nadhani njia bora ilikuwa wewe to stop kutumia watu ambao hauna malengo nao sababu mwisho wa siku you reap what you sor. Huwa kuna nguvu baina yetu na watu tunao jihusisha nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na WALIOOA used ndio wanachukia mada hizi, pamoja na nyinyi wanawake used nmaotaka uolewe na masips eti na mahali ulipiweHuwezi kuta mtu mwenye ndoa yake serious ameanzisha uzi wa kijinga hivi.
Wewe ni either unasubiri shule zifunguliwe au unasaka engagement.
Ka jinga!
"Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"Andika hoja acha michambo
Na WALIOOA used ndio wanachukia mada hizi, pamoja na nyinyi wanawake used nmaotaka uolewe na masips eti na mahali ulipiwe
Ulioa USED? Kama ni hivyo pole sana maana ulichukua makombo"Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Hi aya inatosha kabisa kujua umri wako busara na jinsi unavyochukulia mambo , vingine vyote upo sahihi sana mkuu.
UnajichekaNYINYI WANAWAKE?
Hahahahahahahahahahahahahahahahah
Kumbe mwenzako ni "Ng'ombe"Ng'ombe
"Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Hi aya inatosha kabisa kujua umri wako busara na jinsi unavyochukulia mambo , vingine vyote upo sahihi sana mkuu.
PoleniWatu wanao kabisa wamama walio zaaa kabisaaa Hadi watoto sita, sebuse bikra
Sina mke nimepita "demu" kwakua nipo nae kwenye mahusiano na sina mpango wa kumuoa zaidi ya kumchezea mpaka pale nitakapompata BIKRA ndio nitaoaShida ilianza hapo alipoita mwanamke wake "demu"
Hili ni neno linatumika na vijana under 30, huwezi kuta mtu mwenye ndoa serious anaita mtu wake demu.
Mtoa mada anasaka engagement
Asante na acha wivuPoleni
Uvivu upi blo wakati bikra naitoa mwenyewe tafauti na nyinyi mnanunua usedAsante na acha wivu
Na ndio wengi wao wapo kwenye hayo makundi matatuWATAKAO KUKUCHUKIA NA KUKUJIBU VIBAYA NI MIONGONI MWA HAWA WAFUATAO :
1) WALIOOA USE
2) WENYE DADA ZAO USED NA HAWAJAOLEWA
3) WASICHANA USED WANAOTAKA KUOLEWA NA SIMP
Shida sio mimi kuchukua makombo kama wewe unavyosema, shida ni ujumbe wako ulivyo utoa umeacha wazi upeo wako japo ni ushauri mzuri mno.Ulioa USED? Kama ni hivyo pole sana maana ulichukua makombo
Tuliza mshono uache kumfundisha mtu cha kuandika kikubwa ujumbe umeupata endelea kuugulia moyoniShida sio mimi kuchukua makombo kama wewe unavyosema, shida ni ujumbe wako ulivyo utoa umeacha wazi upeo wako japo ni ushauri mzuri mno.
maneno ya mkosaji ,🤣🤣🤣.. hapo ukite unatamani upate hata mshangazi ila umechemka unaamua kujifichia kwa mabikra nao huwezi wapataUvivu upi blo wakati bikra naitoa mwenyewe tafauti na nyinyi mnanunua used