Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mnavyo zingatia hizo bikra hivi mnajua na za kutengeneza zipo???!!!;
Ndoa ni kitu wide ni zaidi ya hiyo bikra.
Bikra itakupa faraja pale utakapokua umeanguka?? Bikra itakupa amani ndani ya hiyo ndoa, bikra itakupa watoto na familia yenye maadili, bikra itakupa msukumo wa kufanya maendeleo ? Bikra itakupa uelewano na huyo mwenzi wako endapo mambo yakibadilika na ukawa fukara!! Bikra itakuhudumia endapo ukapata tatizo litakalohitaji msaada wa kudumu.....
Ndoa ni zaidi ya bikra na maisha ya ndoa Yana ups and down nyingii mnooo ndio maana kwenye semina za ndoa wanafundisha vingi mnooo.
Ndani ya ndoa bikra huisha, mvuto hupotea kinachobaki ni uvumilivu sasa Kama huna uvumilivu basi ndoa itakushinda na huyo bikra wako....
 
Sasa Kama unajua kuna suala la kuchepuka, maana yako kubwa ya kukazia mambo ya bikira ni nini ?

Acha mbambamba mwenyewe.

Nijibu vizuri hapa tuelewane.
Kwanini ununue iPhone used kwa mtu wakati unaweza kupata mpya ya kwenye box na maganda yake kwa bei ile ile??
Yani mwanamke aliejiheshimu akaepukana na tamaa za aina yoyote uje kufananisha na mwanamke aliepandwa na wanaume 50+ upo serious kweli?? Ivi unajua ni kwanini watoto siku hizi wanazaliwa mataahira? Ni kwasababu mpaka huyo mwanamke anakuja kuzaa anakua amechanganya mashahawa ya kila aina mwilini mwake
 
😂😂
 
Acha kuleta mifano isiyoendana na swali langu.

Jibu swali, acha kuzunguka.

Hapa tunaongelea maisha tunayoishi sisi (watu ).

Mtu na simu wapi na wapi.
 
Acha kuleta mifano isiyoendana na swali langu.

Jibu swali, acha kuzunguka.

Hapa tunaongelea maisha tunayoishi sisi (watu ).

Mtu na simu wapi na wapi.

Utengenezaji wa bidha viwandani huwa wanaweka kitu kinachoitwa SEAL. Bidha yenye SEAL maana yake ni mpya, haijaguswa na MTU yeyote.

Ukiona product haina SEAL, hiyo ni used, maana yake Imetumika.
Kikawaida bidha iliyotumika inakuwa sio bora na ni hatari sana Kuitumia. Kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama kubwa kwenye matumizi yake. Bidha mpya ni smooth Kuitumia. Haisumbuwi. Mfano, Nunua simu mpya dukani au Nunua simu used kwa MTU. Utaona simu used itakusumbuwa tu Kuitumia.

Sasa Mungu aliweka kitu kinachoitwa BIKRA kwa wanawake. BIKRA ni SEAL ya MWANAMKE. Ina maana sana, sana, sana.

MWANAMKE BIKRA ni bidha mpya. Ni bidha original kabisa. Matumizi ya bidha mpya ukiipata ni smooth sana. Unateleza tu.

Zifuatazo ni faida za kuoa BIKRA
1) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusumbuwa. Anakuwa mti sana
2) MWANAMKE BIKRA hawezi kukusaliti hata kama unaisha naye mbali.
3) Watoto wako wanakuwa na afya ya kimwili na kiroho maana njia ya mkeo haijawahi kupitisha uchafu wowote
4)Mwanamke BIKRA anakujuwa wewe tu dunia nzima. Hamjui mwanamme mwingine, kwa hiyo ni rahisi kumuongoza. Mwanamke BIKRA amebarikiwa sana na Mungu. Huwezi kupata Magonjwa ya zinaa.

5) Mwanamke BIKRA ni mwaminifu ktk mambo ya fedha
Faida zipo nyingi.
Ukioa mwanamke ambayo sio BIKRA Mara nyingi inakuwa kinyume chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…