Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ikipigwa Counter hapo hamuwezi solve hilo shambulizi hata kwa Four figure
Thli kocha mbona counter tunaizuia hapo hapo mbele kabla haijaanza. Kumbuka tuna watu nane mbele to hapo tunafuata akili za bwana klopp..inapigwa gegen pressing ya maana lazima breki pumbuz waachie mali...tunaicbukua alafu tunapiga bao tena.
Upp hapo kocha?
 
Kinachokusumbua sasa hivi ni umri wako under 25. Mimi nilivyokuwa kwenye rika kama wewe nilikuwa nakagua mpaka vidole vya mguuni
Vidole na kwapa pia. Mie demu akiwa nankwapa baya sigegedi.
Ndio maana napendelea demu avae crop top hapo nitaliona kwapa.
Chengine nakagua hadi dimples za tako au hips....hatari ndio ugonjwa wangu yaani demu awe na dimples za hips au tako alafu apige leggings
 
acha ujinga 😂 😂
Juu yako siachi 😄😄
Wewe kuwa makini na mpiga pasi wa mwisho Jobless Billionea na mmaliziaji Mzabzab...sasa ole wako umuangilie Mzabzab tu atatokea beki huko Poor Brain na Joka Jeusi ndo utajua goli 3 za haraka haraka zimetokea vip 🤣🤣🤣
 
vip we hutaki au unataka bikira😂😂
 
Sasa wewe shida yako ilikuwa kutoa upwiru na kupata watoto au ilikuwa kupata mwenye bikra?
 
Back
Top Bottom