Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Bado sielewiHaumpi,🥴
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sielewiHaumpi,🥴
Wee line woman wana machale kabla pasi haijapigwa keshafika hujui kuwa wanawaza mbele zaidi yetu 😄Huyo wa kukimbia huku anajikwaa ataendana na speed za hao watu kweli? Si ndio atakuwa anavutwa kama tela tu
Thli kocha mbona counter tunaizuia hapo hapo mbele kabla haijaanza. Kumbuka tuna watu nane mbele to hapo tunafuata akili za bwana klopp..inapigwa gegen pressing ya maana lazima breki pumbuz waachie mali...tunaicbukua alafu tunapiga bao tena.Ikipigwa Counter hapo hamuwezi solve hilo shambulizi hata kwa Four figure
Ili kujua kama demu ana VANT (K) kubwaKinachokusumbua sasa hivi ni umri wako under 25. Mimi nilivyokuwa kwenye rika kama wewe nilikuwa nakagua mpaka vidole vya mguuni
Najua maana yake na Hilo jeno haulitumii ipasavyo !Google kazi yake nini?
Litumie wewe ipasavyoNajua maana yake na Hilo jeno haulitumii ipasavyo !
Yani ulivyomnoko utaenda mpaka kwenye VaR hata pua izidi wewe ushanyanyua juuWas offuside necessary 🤣🤣
Vidole na kwapa pia. Mie demu akiwa nankwapa baya sigegedi.Kinachokusumbua sasa hivi ni umri wako under 25. Mimi nilivyokuwa kwenye rika kama wewe nilikuwa nakagua mpaka vidole vya mguuni
Asante kwa maoni sistaKinachokusumbua sasa hivi ni umri wako under 25. Mimi nilivyokuwa kwenye rika kama wewe nilikuwa nakagua mpaka vidole vya mguuni
Sijaona sehemu ya kulitumia kwenye huu UziLitumie wewe ipasavyo
Juu yako siachi 😄😄acha ujinga 😂 😂
Hebu niache mim🤣🤣🤣🤣🚶🏾♀️Yani ulivyomnoko utaenda mpaka kwenye VaR hata pua izidi wewe ushanyanyua juu
vip we hutaki au unataka bikira😂😂Juu yako siachi 😄😄
Wewe kuwa makini na mpiga pasi wa mwisho Jobless Billionea na mmaliziaji Mzabzab...sasa ole wako umuangilie Mzabzab tu atatokea beki huko Poor Brain na Joka Jeusi ndo utajua goli 3 za haraka haraka zimetokea vip 🤣🤣🤣
Haha mimi ni sip Sawa kama upo single tuyajengeSijaona sehemu ya kulitumia kwenye huu Uzi
Wewe ndo Kila comment unatupia TU simp
You seem to be a simp too
Wewe ndio unathibitisha JF hakuna wanawake, bandiko lako linauliza wanaume, Unaniita mimi na Palina!!
🧚Haha mimi ni sip Sawa kama upo single tuyajenge
Najua unajua so usimwage mtama kihivyoo 😄vip we hutaki au unataka bikira😂😂