Bado una utoto, ukikua utaachaWanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
u're warmly welcome sir ,we're here for you all😌
Mzee tsmbua siku hixi bikirs inabumbwa,Wanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
kijana tambua siku hizi bikira inatengenezwa, kwa akili yako unadhani ni bikira original kumbe hospitsli wanapandikizaHuwezi kuta mtu mwenye ndoa yake serious ameanzisha uzi wa kijinga hivi.
Wewe ni either unasubiri shule zifunguliwe au umetoka kwenye mihangaiko unataka uchangamshe kijiwe
Toka hapa usitupumzikie
Sijajua mnajadili nini ila mi nashauri mwanamke akiwa bikra aweke vigezo vya mwanaume anaemtaka nje na hapo awe mpole tu pia Kwa wanaume kama una hela weka vigezo vya mwanamke unaemtaka nje na hapo endelea kutumia second hand productsapo mshindi atakua Mpaji Mungu ataingia dak za nyongeza
Hujawahi niangusha kwenye kutoa mawazo,,safi sanaSijajua mnajadili nini ila mi nashauri mwanamke akiwa bikra aweke vigezo vya mwanaume anaemtaka nje na hapo awe mpole tu pia Kwa wanaume kama una hela weka vigezo vya mwanamke unaemtaka nje na hapo endelea kutumia second hand products
Saivi sitaki pongezi ya maneno nibless kabisaHujawahi niangusha kwenye kutoa mawazo,,safi sana
Mbio ulzotoka sikuile ulipoona nna sura ya babu,,eti ukaulza sasa huku chin kutakuaje,,m'baba unadharau weweee😔😔niliumiaaSaivi sitaki pongezi ya maneno nibless kabisa
😂😂😂😂Mbio ulzotoka sikuile ulipoona nna sura ya babu,,eti ukaulza sasa huku chin kutakuaje,,m'baba unadharau weweee😔😔niliumiaa
Sawa tuuu sisi ni pipo😔😂😂😂😂
Nikuwekee Mpesa au Airtel money?Sawa tuuu sisi ni pipo😔
Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wakeWanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Azam pesaNikuwekee Mpesa au Airtel money?
Imeisha hiyoAzam pesa
Eehh!! Kwahy mkae mkijua, msije sema hamkuambiwa.Mweeeeee!!!
Umemaliza kila kitu. Asomaye na afahamu. Vitoto vimekazana bikra bikra 😂😂🤣Mnavyo zingatia hizo bikra hivi mnajua na za kutengeneza zipo???!!!;
Ndoa ni kitu wide ni zaidi ya hiyo bikra.
Bikra itakupa faraja pale utakapokua umeanguka?? Bikra itakupa amani ndani ya hiyo ndoa, bikra itakupa watoto na familia yenye maadili, bikra itakupa msukumo wa kufanya maendeleo ? Bikra itakupa uelewano na huyo mwenzi wako endapo mambo yakibadilika na ukawa fukara!! Bikra itakuhudumia endapo ukapata tatizo litakalohitaji msaada wa kudumu.....
Ndoa ni zaidi ya bikra na maisha ya ndoa Yana ups and down nyingii mnooo ndio maana kwenye semina za ndoa wanafundisha vingi mnooo.
Ndani ya ndoa bikra huisha, mvuto hupotea kinachobaki ni uvumilivu sasa Kama huna uvumilivu basi ndoa itakushinda na huyo bikra wako....
Tutawagegeda wenyewe baba zao wakiwa wazuriEehh!! Kwahy mkae mkijua, msije sema hamkuambiwa.
Yaani umgegede bintiyo🤔, kwa hizo fikra zenu , yote yanawezekana.Tutawagegeda wenyewe baba zao wakiwa wazuri
Weka dau nitume baadhi ya txt za wasap tlizo chati baada ya maongezi....ilikuwa jana saa9 alasiri usij sema tume edit ama nimejitumia mwenyewe. weka dau niweke hapahapa kila mtu aone.Nanukuu""....Huwa tunaongea mara kadhaa kama mjuavyo kwa kijana mwenye akili timamu linapofika jambo lenye umuhimu wake huwa anapenda......kifupi hii ni chai maana hakuna mwanaume mwenye akili timamu Anaoa,so either unamsifia tu bure huyo mdogo wako au umetunga hii stori.