Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Bado una utoto, ukikua utaacha
 
Mzee tsmbua siku hixi bikirs inabumbwa,
Huwezi kuta mtu mwenye ndoa yake serious ameanzisha uzi wa kijinga hivi.

Wewe ni either unasubiri shule zifunguliwe au umetoka kwenye mihangaiko unataka uchangamshe kijiwe

Toka hapa usitupumzikie
kijana tambua siku hizi bikira inatengenezwa, kwa akili yako unadhani ni bikira original kumbe hospitsli wanapandikiza
 
apo mshindi atakua Mpaji Mungu ataingia dak za nyongeza
Sijajua mnajadili nini ila mi nashauri mwanamke akiwa bikra aweke vigezo vya mwanaume anaemtaka nje na hapo awe mpole tu pia Kwa wanaume kama una hela weka vigezo vya mwanamke unaemtaka nje na hapo endelea kutumia second hand products
 
Hujawahi niangusha kwenye kutoa mawazo,,safi sana
 
Wanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake
Wakwako ndio huu.
 
Nanukuu""....Huwa tunaongea mara kadhaa kama mjuavyo kwa kijana mwenye akili timamu linapofika jambo lenye umuhimu wake huwa anapenda......kifupi hii ni chai maana hakuna mwanaume mwenye akili timamu Anaoa,so either unamsifia tu bure huyo mdogo wako au umetunga hii stori.
 
Mnavyo zingatia hizo bikra hivi mnajua na za kutengeneza zipo???!!!;
Ndoa ni kitu wide ni zaidi ya hiyo bikra.
Bikra itakupa faraja pale utakapokua umeanguka?? Bikra itakupa amani ndani ya hiyo ndoa, bikra itakupa watoto na familia yenye maadili, bikra itakupa msukumo wa kufanya maendeleo ? Bikra itakupa uelewano na huyo mwenzi wako endapo mambo yakibadilika na ukawa fukara!! Bikra itakuhudumia endapo ukapata tatizo litakalohitaji msaada wa kudumu.....
Ndoa ni zaidi ya bikra na maisha ya ndoa Yana ups and down nyingii mnooo ndio maana kwenye semina za ndoa wanafundisha vingi mnooo.
Ndani ya ndoa bikra huisha, mvuto hupotea kinachobaki ni uvumilivu sasa Kama huna uvumilivu basi ndoa itakushinda na huyo bikra wako....
Umemaliza kila kitu. Asomaye na afahamu. Vitoto vimekazana bikra bikra 😂😂🤣
 
Nanukuu""....Huwa tunaongea mara kadhaa kama mjuavyo kwa kijana mwenye akili timamu linapofika jambo lenye umuhimu wake huwa anapenda......kifupi hii ni chai maana hakuna mwanaume mwenye akili timamu Anaoa,so either unamsifia tu bure huyo mdogo wako au umetunga hii stori.
Weka dau nitume baadhi ya txt za wasap tlizo chati baada ya maongezi....ilikuwa jana saa9 alasiri usij sema tume edit ama nimejitumia mwenyewe. weka dau niweke hapahapa kila mtu aone.
 
Back
Top Bottom