Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Kwani sivyo mkuu?Mie siku zote najuaga Abby Uladu ni mwanamke π€π€
Nimeona kama kaandika kiume sana,.Kwani sivyo mkuu?
Niwatolee diaraIli uwafanyaje mkuu
Ningekubembeleza πumenena afu ningekukosa kwenye huu uzi ningelia sana [emoji3]
[emoji3] hahaha apo ndio napataka sasaNingekubembeleza
Unapenda kudeka ee?[emoji3] hahaha apo ndio napataka sasa
Hahaha[emoji3] mambo ya malast born si unaelewa tena[emoji849]Unapenda kudeka ee?
Nyie ndo wale kila kitu hadi umwambie mama π π πHahaha[emoji3] mambo ya malast born si unaelewa tena[emoji849]
hahaha mama mwenyewe si ndio wewe tena ni realmamyNyie ndo wale kila kitu hadi umwambie mama
Achana na Mamy, zingatia MAMA π unamwambia kuna dada nimempata ila kaniomba Pesa ya Saloon π π π πhahaha mama mwenyewe si ndio wewe tena ni realmamy
haha hapo nisaidie kujibu; jibu kama mama anaedaiwa vicoba [emoji3]Achana na Mamy, zingatia MAMA unamwambia kuna dada nimempata ila kaniomba Pesa ya Saloon
Utaambiwa kimbia mwanangu Nakuletea Mke kutoka kijijini aliyenyoa kabisa πhaha hapo nisaidie kujibu; jibu kama mama anaedaiwa vicoba [emoji3]
hahahaha nimecheka max volume hahaha kanyoa nini sasaUtaambiwa kimbia mwanangu Nakuletea Mke kutoka kijijini aliyenyoa kabisa
Tia neno basi mremboDahππππ
Mie niko nafuatilia vita yenu hapa na wadada wa JamiiForums,.Tia neno basi mrembo
Kila kitu ohooo! π πhahahaha nimecheka max volume hahaha kanyoa nini sasa
Na wao hawatupumzishi kila dakika "tafuta hela wee mwanaume"Mie niko nafuatilia vita yenu hapa na wadada wa JamiiForums,.
Hamtaki kuwapumzisha kabisa naonaππ