Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Kwani sivyo mkuu?Mie siku zote najuaga Abby Uladu ni mwanamke 🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sivyo mkuu?Mie siku zote najuaga Abby Uladu ni mwanamke 🤔🤔
Nimeona kama kaandika kiume sana,.Kwani sivyo mkuu?
Niwatolee diaraIli uwafanyaje mkuu
Ningekubembeleza 😅umenena afu ningekukosa kwenye huu uzi ningelia sana [emoji3]
[emoji3] hahaha apo ndio napataka sasaNingekubembeleza
Unapenda kudeka ee?[emoji3] hahaha apo ndio napataka sasa
Hahaha[emoji3] mambo ya malast born si unaelewa tena[emoji849]Unapenda kudeka ee?
Nyie ndo wale kila kitu hadi umwambie mama 😅😅😅Hahaha[emoji3] mambo ya malast born si unaelewa tena[emoji849]
hahaha mama mwenyewe si ndio wewe tena ni realmamyNyie ndo wale kila kitu hadi umwambie mama
Achana na Mamy, zingatia MAMA 😅unamwambia kuna dada nimempata ila kaniomba Pesa ya Saloon 😅😅😅😅hahaha mama mwenyewe si ndio wewe tena ni realmamy
haha hapo nisaidie kujibu; jibu kama mama anaedaiwa vicoba [emoji3]Achana na Mamy, zingatia MAMA unamwambia kuna dada nimempata ila kaniomba Pesa ya Saloon
Utaambiwa kimbia mwanangu Nakuletea Mke kutoka kijijini aliyenyoa kabisa 😅haha hapo nisaidie kujibu; jibu kama mama anaedaiwa vicoba [emoji3]
hahahaha nimecheka max volume hahaha kanyoa nini sasaUtaambiwa kimbia mwanangu Nakuletea Mke kutoka kijijini aliyenyoa kabisa
Tia neno basi mremboDah😂😂😂😂
Mie niko nafuatilia vita yenu hapa na wadada wa JamiiForums,.Tia neno basi mrembo
Kila kitu ohooo! 😅😅hahahaha nimecheka max volume hahaha kanyoa nini sasa
Na wao hawatupumzishi kila dakika "tafuta hela wee mwanaume"Mie niko nafuatilia vita yenu hapa na wadada wa JamiiForums,.
Hamtaki kuwapumzisha kabisa naona😂😂