Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Na wao hawatupumzishi kila dakika "tafuta hela wee mwanaume"
Sasa na sie ni "wanaume wa kweli anaoa bikra "
Vipi wee ni wife material au ndio pumbuz breki
Haha Mie Mhalifu kabaki na mali yake aliyeiharibu😂😂

Kwani we hutaki kukumbushwa kutafuta hela mkuu
 
Duh pole sana, Nimeku entertain vya kutosha msenge baridi wewe, nakuweka kwenye ignore list yangu Kama Tumbili wa mjini , I have got nothing to learn from you two!, silipii bando kuja humu kuwapa attention nyie vinuka mkojo so kuanzia sasa utakua unaniquote upate attention yangu hupati ng’o! Andika ujijibu mwenyewe choko we!
Tumbili na captain ni mtu mmoja, asikuumize kichwa
 
Pesa ndiyo itamfundisha mwanamke vitu vingi.

Mfano unaweza kumpeleka Zanzibar akajifunza kucheza na Luxury engine boats then mkakalia yatch.

Unaweza mtoa out China akapanda ile aTrain ya kasi au Dubai kwa waarabu, Au Sweden kucheza kwenye barafu.

Tafuta pesa, Bikra waachie waarabu wa Iraq.
 
NGUMU KUMEZA.

Mwanaume hauwezi kumfanya MWANAMKE mwenye body count za kuzidi [kutumiwa sana] simply a HOE kuwa mke bora.

Angalau ukiwa 25 jisogezee ka BIKIRA ukate utepe mwenyewe am'pretty sure kuna asilimia kubwa ya kubaki kuwa royal kwako na kuwa mke mzuri au bora kwako.

Wazee wetu hawakuwa wajinga kuweka msisitizo kwenye kuoa na kutafutia vijana wao wanawake ambao walikuwa Virgin.

Angalia.

Speaking from experince. Bikra, unamfunza wewe karibuni kila kitu kwenye mahusiano mfano.

i. Sex
ii. Kissing
iii. Romances
iv. Chattings (wengine ata kuchat ni shida)
V. Hata tabia katika Mahusiano.

I belive ni ngumu sana mdada kusahau kwa mtu ambae kamfundisha yote hayo + una room ya kum'shape vile unavyohitaji awe maana wewe ndio mwalimu na kiongozi wake.

Naamini ukioa mwanamke Bikra likelihood ya ku'Cheat ni ndogo sana ukilinganisha na hawa tunaokuta wanavyotaka, like nini kitamfanya asionje mbon'go zingine uko nje? [Tena aliembikiri ndio anapewa kwa urahisi haha(utani)..]

In most cases, hawa hoes wanakuwa damaged sana kiasi kwamba wana belive less katika true love since they believe that you won't end up like their fathers.

More so over, imagine unaoa mwanamke alieguswa mara kibao then anakua wanakulinganisha na wengine aliokuwa nao kipindi cha nyuma hell no...💔😭

The worst Part ni pale naona Mwanaume anamvisha pete mwanamke wake kwa kupiga goti wakati mwanamke huyo alikuwa akipigia wanaume wengine goti huko nyuma ili kuwapa Blow-Job.

Ila niwakumbushe tu Bros wote, sio kila unamla saizi ni Virgin. Na uhalisia ni kwamba wengiwetu haitokuwa rahisi kupata kitu Piruu.

NOTE.

Ingawa kuoa bikira ni jambo NINALOSHAURI, sio direct kwamba Lazima atakuwa mke bora, isipokuwa kama wewe binafsi unaamini hivyo.

Lakini je, Non-virgin ni guarantee ya mke bora?

Bro, In this current state of our societies give virgins some credits please. The first symbol of a virtuous woman is her sexual purity.

In case wote mkiamua kuoa ladies ambao hamkukuta ni Virgin au wenye watoto kabisa basi mimi nitakuwa wa mwisho.

THANK YOU FOR YOUR TIME.

Abby Uladu
Psychologist and journalist
Mbezi beach finest.
Shida inakuja pale unapoona misambwanda, kitu mahipsi aka bastola, kitu white, kitu kiuno namba 8, kitu mguu mguu, hapo udenda unakutoka, wa kwako, hana vyote hivyo ila ni mke safi kabisa ametulia lkn mambo ya juu hana, hapo ndo hatar inapoanzia, so take care.
 
NGUMU KUMEZA.

Mwanaume hauwezi kumfanya MWANAMKE mwenye body count za kuzidi [kutumiwa sana] simply a HOE kuwa mke bora.

Angalau ukiwa 25 jisogezee ka BIKIRA ukate utepe mwenyewe am'pretty sure kuna asilimia kubwa ya kubaki kuwa royal kwako na kuwa mke mzuri au bora kwako.

Wazee wetu hawakuwa wajinga kuweka msisitizo kwenye kuoa na kutafutia vijana wao wanawake ambao walikuwa Virgin.

Angalia.

Speaking from experince. Bikra, unamfunza wewe karibuni kila kitu kwenye mahusiano mfano.

i. Sex
ii. Kissing
iii. Romances
iv. Chattings (wengine ata kuchat ni shida)
V. Hata tabia katika Mahusiano.

I belive ni ngumu sana mdada kusahau kwa mtu ambae kamfundisha yote hayo + una room ya kum'shape vile unavyohitaji awe maana wewe ndio mwalimu na kiongozi wake.

Naamini ukioa mwanamke Bikra likelihood ya ku'Cheat ni ndogo sana ukilinganisha na hawa tunaokuta wanavyotaka, like nini kitamfanya asionje mbon'go zingine uko nje? [Tena aliembikiri ndio anapewa kwa urahisi haha(utani)..]

In most cases, hawa hoes wanakuwa damaged sana kiasi kwamba wana belive less katika true love since they believe that you won't end up like their fathers.

More so over, imagine unaoa mwanamke alieguswa mara kibao then anakua wanakulinganisha na wengine aliokuwa nao kipindi cha nyuma hell no...💔😭

The worst Part ni pale naona Mwanaume anamvisha pete mwanamke wake kwa kupiga goti wakati mwanamke huyo alikuwa akipigia wanaume wengine goti huko nyuma ili kuwapa Blow-Job.

Ila niwakumbushe tu Bros wote, sio kila unamla saizi ni Virgin. Na uhalisia ni kwamba wengiwetu haitokuwa rahisi kupata kitu Piruu.

NOTE.

Ingawa kuoa bikira ni jambo NINALOSHAURI, sio direct kwamba Lazima atakuwa mke bora, isipokuwa kama wewe binafsi unaamini hivyo.

Lakini je, Non-virgin ni guarantee ya mke bora?

Bro, In this current state of our societies give virgins some credits please. The first symbol of a virtuous woman is her sexual purity.

In case wote mkiamua kuoa ladies ambao hamkukuta ni Virgin au wenye watoto kabisa basi mimi nitakuwa wa mwisho.

THANK YOU FOR YOUR TIME.

Abby Uladu
Psychologist and journalist
Mbezi beach finest.
Wanawake waliochezewa wakachezeka wakina Jadda watakuja hapa kukupinga
 
Mmh ,mm naona Tabia ni Mtu alivyokuwa,alivyo na atakavyojiweka ...Naungana nawe kwa baadhi ya facts juu ya bikra women mfano kuna baadhi ya women ni bikra but have body count in other parts of body (Umenielewa I hope,ukitulia vzr) sasa Mtu kama huyu ni wale wale hakuna cha kumwelekeza,Pia mazingira globalization inatuharibia Watu jamani Semina uchawa vya kulishana upuuzi vinaharibu Watu especially ladies Mtu anajiona hot cake 🍰 demand kubwa ila MDA ukienda inabidi abadilike kuendana na soko hivo Hapo upendo unakuwa sio ule WA moyoni
 
Back
Top Bottom