Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Nimerudi ewani ntakula naI sahani moja.Abby Uladu Mayowe yashaanza huku, usiendelee kurusha mawe tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerudi ewani ntakula naI sahani moja.Abby Uladu Mayowe yashaanza huku, usiendelee kurusha mawe tafadhali
Acha tu mkuu, body counts inaonesha ni kipengele.Huwa nashangaa Sana unaoa Mtu aliye waku kuwa na mabwana zaidi ya 10 ujinga mtupu.
Upo sahihi,umuhimu wa bikra anakuwa ajui mengi na akipat Mtu sahihi si rahisi kufanya hayo unayoyasema otherwise mwanaume awe anazingua katika mahitaji yake.ila mkuu kuoa bikra wakati mwingine ni pata potea tu..kwa vigezo vyako ulivyo orodhesha huko juu eti unaanza kumdundisha ww mambo ya kissing,romance na sex upo sahihi ila kumbuka ww hujui au huna utaalam wa kila kitu isitoshe huyo bikra wako ana mengi pia ya kujifunza tena wanashawika kirahisi zaidi baada kusikia au kusimuliwa kitu tofauti na ulicho nacho ww hivyo rahisi kujaribu asichopata kwako na akiotewa vizuri huko anazuzuka vibaya mno maana vitu vingi vitakuwa vipya au vigeni kwake.. tofauti na asiye bikra aliyepita sehemu tofauti anajua mengi hivyo si rahisi kuzuzuka kishamba tokana na uzoefu hapatokuwa na jipya la ajabu kiasi apoteze maboya..hivyo bikra na asiye bikra ka mmoja ana faida na hasara zake
Mbona kama umepaniki Ukhty.Mpuuzi tu wewe umeehindwa hata kuchangia umebakia Kuita ,useless
Ni hivyo.Kwani sivyo mkuu?
Nisemaje?Nimeona kama kaandika kiume sana,.
Lakini haina tatizo ujumbe umefika🤝
All the sameMada za vilaza.
Mnazungumzia body count au virginity.
Kujua na kufanya ni vitu viwili tofauti Sana.Wanajua vitu vingu hawa hata kwa kusimuliwa tu, wengine wameona bado tu utekelezaji
Hii inahitaji Kada Zaid kuichambua kama yenyewe.Acha tu mkuu, body counts inaonesha ni kipengele.
Tusaidie mkuuHii inahitaji Kada Zaid kuichambua kama yenyewe.
Asilimia 60 huwa ni hivyo na asilimia zikizidi zaidi ya 50 katika utafiki ni ukweli...wa Jambo Hilo Kwa wingi....Ndugu mwanasaikolojia!
Tafiti za kisaikolojia zinafanywa na Binadamu hatumiki kama sampuli kwasababu ndio kiumbe Cheney uwezo wa ku pretend!
Sasa basi utafiti wako hautupi matokeo ya asilimia mia moja kuhusu hicho ulichokiandika!!
Haya ni mawqzo ya Watu waliozoea kugingewa wake zao na walio Kata tamaa na mapenz na hata Maisha muda mengine.Pesa ndiyo itamfundisha mwanamke vitu vingi.
Mfano unaweza kumpeleka Zanzibar akajifunza kucheza na Luxury engine boats then mkakalia yatch.
Unaweza mtoa out China akapanda ile aTrain ya kasi au Dubai kwa waarabu, Au Sweden kucheza kwenye barafu.
Tafuta pesa, Bikra waachie waarabu wa Iraq.
Hahaha haya tafuta Pesa uishi na Malaya.Upuuzi content! mwanaume kujali sana wanawake ikiwa una mengine mengi ya kufanya kwenye hii dunia huo ni uanamke mwingine, yaani niache kutafuta pesa nianze kutafuta mwanamke bikra au sio bikra ili inisaidie nini itanipeleka mbinguni au itaniongezea mali nilizonazo? Shwain
Umakini kujifunza.Shida inakuja pale unapoona misambwanda, kitu mahipsi aka bastola, kitu white, kitu kiuno namba 8, kitu mguu mguu, hapo udenda unakutoka, wa kwako, hana vyote hivyo ila ni mke safi kabisa ametulia lkn mambo ya juu hana, hapo ndo hatar inapoanzia, so take care.
Upo sahihi kabisa ujaacha kitu.Mmh ,mm naona Tabia ni Mtu alivyokuwa,alivyo na atakavyojiweka ...Naungana nawe kwa baadhi ya facts juu ya bikra women mfano kuna baadhi ya women ni bikra but have body count in other parts of body (Umenielewa I hope,ukitulia vzr) sasa Mtu kama huyu ni wale wale hakuna cha kumwelekeza,Pia mazingira globalization inatuharibia Watu jamani Semina uchawa vya kulishana upuuzi vinaharibu Watu especially ladies Mtu anajiona hot cake 🍰 demand kubwa ila MDA ukienda inabidi abadilike kuendana na soko hivo Hapo upendo unakuwa sio ule WA moyoni
Ishu ni awe mtu sahihi, swala la kua bk au kutokua bk halina tijaKabisa ukishatoa utepe Tu vituko vinaanzia hapo.