Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Na wao hawatupumzishi kila dakika "tafuta hela wee mwanaume"
Sasa na sie ni "wanaume wa kweli anaoa bikra "
Vipi wee ni wife material au ndio pumbuz breki
Haha Mie Mhalifu kabaki na mali yake aliyeiharibuπŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani we hutaki kukumbushwa kutafuta hela mkuu
 
Tumbili na captain ni mtu mmoja, asikuumize kichwa
 
Pesa ndiyo itamfundisha mwanamke vitu vingi.

Mfano unaweza kumpeleka Zanzibar akajifunza kucheza na Luxury engine boats then mkakalia yatch.

Unaweza mtoa out China akapanda ile aTrain ya kasi au Dubai kwa waarabu, Au Sweden kucheza kwenye barafu.

Tafuta pesa, Bikra waachie waarabu wa Iraq.
 
Shida inakuja pale unapoona misambwanda, kitu mahipsi aka bastola, kitu white, kitu kiuno namba 8, kitu mguu mguu, hapo udenda unakutoka, wa kwako, hana vyote hivyo ila ni mke safi kabisa ametulia lkn mambo ya juu hana, hapo ndo hatar inapoanzia, so take care.
 
Wanawake waliochezewa wakachezeka wakina Jadda watakuja hapa kukupinga
 
Mmh ,mm naona Tabia ni Mtu alivyokuwa,alivyo na atakavyojiweka ...Naungana nawe kwa baadhi ya facts juu ya bikra women mfano kuna baadhi ya women ni bikra but have body count in other parts of body (Umenielewa I hope,ukitulia vzr) sasa Mtu kama huyu ni wale wale hakuna cha kumwelekeza,Pia mazingira globalization inatuharibia Watu jamani Semina uchawa vya kulishana upuuzi vinaharibu Watu especially ladies Mtu anajiona hot cake 🍰 demand kubwa ila MDA ukienda inabidi abadilike kuendana na soko hivo Hapo upendo unakuwa sio ule WA moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…