Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Upo sahihi,umuhimu wa bikra anakuwa ajui mengi na akipat Mtu sahihi si rahisi kufanya hayo unayoyasema otherwise mwanaume awe anazingua katika mahitaji yake.
 
Ndugu mwanasaikolojia!

Tafiti za kisaikolojia zinafanywa na Binadamu hatumiki kama sampuli kwasababu ndio kiumbe Cheney uwezo wa ku pretend!

Sasa basi utafiti wako hautupi matokeo ya asilimia mia moja kuhusu hicho ulichokiandika!!
Asilimia 60 huwa ni hivyo na asilimia zikizidi zaidi ya 50 katika utafiki ni ukweli...wa Jambo Hilo Kwa wingi....
 
Haya ni mawqzo ya Watu waliozoea kugingewa wake zao na walio Kata tamaa na mapenz na hata Maisha muda mengine.
 
Hahaha haya tafuta Pesa uishi na Malaya.
 
Umakini kujifunza.
 
Upo sahihi kabisa ujaacha kitu.
 
Kwenye Karne hii ya sayansi na technolojia, hakuna mahusiano ambayo wenza hawapigani picha au kuchukuana video za uchi Either kwa wote kukubaliana au kwa siri. Mara nyingine hizo picha na video za uchi zinachukuliwa wakiwa wanafanya tendo.

Pia Kuna hatari ya hao wenza kuchukuliwa video wakiwa faragha bila Wao kujua kwenye nyumba za wageni. Gesti na hoteli nyingi Kuna kamera zilizojificha mahususi kwa ajili ya kuchukua picha za uchi.

Sasa wewe muoaji ambaye unaoa binti ambaye tiyari kesha kuwa na mahusiano. Siku ukiona picha au video za mkeo akibinukiwa, je utakuwa tiyari kuendelea naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…