Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Lkn i expected one of my sistas in here bragin kuwa aliolewa na bikra au bado leo anayo lkn hamna [emoji23][emoji23][emoji23]
Mengine tunamuachia baba na mama [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwamba ukishatobolewa Huwezi Kupenda tena au????[emoji16][emoji16][emoji16] Acha hizo mkuu upendo unakaa moyonii sio chupinii... Mbona wanaume kuoa hujawahi kusex sio sifaa????
Hamna upendo kama upo ni ule shallow tu tofautisha sana demu aliye date before na bikra katika love perspective assuming wote wamekupenda
 
Ewaaaaaaaaaa! Ni mjadala wa siku nyingine, hapa tutakera watu na imani zao.

Ndio hivyo Mkuu. Bikra hata ufanye ufanyeje itabaki kuwa bikra tuu. hata nyumbani kwenu kama mpo wawili. Wewe si bikra na mmoja ni bikra unadhani nani ataolewa kwa mahari kubwa?

Njoo kwenye kafara, unadhani ikitolewa oda ya kutolewa kafara unadhani nani atatolewa kafara kati mwenye bikra na asiye na bikra?
 
Hamna upendo kama upo ni ule shallow tu tofautisha sana demu aliye date before na bikra katika love perspective assuming wote wamekupenda
Bikra ni better...! Lakini wewe binafsi ukisikia jamaa kakataa kuoa Binti mwenye sifa zote nzurii kisa binti Hana Bikra utamuonaje!??
 
Na mwenzako atakiahidi iPhone kitampaa..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama unavyoona wewe ni rahisi kukidanganya bhasi wenzako watakidanganya hivyo hivyoo...
Vipi huyo utakae mjengea Nyumba mlandiz na Yule atakae mjengea nyumba madale (used)

Kudanganywa kupo tu
 
Yaan niku ahid ndoa nisikuombe mchezo utaendelea kuwa na Mimi au utahis jogoo hapandi mtungi

Wengine wataendelea kuwa na wewe mimi ntahisi jogoo hapandi mtungi. Kwani tunaishi ili tufanye nini si ili tuenjoy?

Ikiwa mnasubiri kufunga ndoa maisha yanasimama au yanaendelea? Kama yanaendelea nikatiw.e na nani na wewe upo? Aggghhhrrrrrrr 😁
 

Dah!
 
Bikra ni better...! Lakini wewe binafsi ukisikia jamaa kakataa kuoa Binti mwenye sifa zote nzurii kisa binti Hana Bikra utamuonaje!??
Sasa kama kutokua na bikra kunamnyima Amani ya Moyo ajilazimishe?

Mzee usicheze na hisia bwana
 
Acha ujinga ww umewatolea wangap bikra na ukijua kabsa hujawaoa na unafikir hao uliowatolea ww bikra wataolewa na nan nyinyi mnawatoa wanawake bikra kwa ushawishi mkubwa tu halafu unakuja hapa unaongea ujinga.

Labda uwe hujawahi fanya hicho kitendo lkn kama umeshawah mtolea mwanamke bikra na hujamuoa hakika huwez oa bikra
 

Heeeeeeeee mi haya mambo siyajui ndio maana nashangaa ujue. Kwamba hadi kwenye kafara wanachaguliwa mabikra? Ni wapi huko hufanya hivo?

Mahari inapangwa kulingana na kipato cha mwanaume ambacho msichana anakifahamu na humwambia mama kwa siri na mama hupeleka kwa baba, baba huwaambia wazee, Sijawahi sikia mahari inapangwa kubwa kwasababu ya bikra. Mkuu tunaishi kwenye ulimwengu mmoja kweli??

Kuna sehemu mwanamke hutoa mahari huko nako vipi?
 
Nikikutia na nkakukuta bikra hata kama nshatoa mahar narudi kwenu kuongeza nyingine, what a reward?

Na kwa kadri ya uwezo Wangu hakuna mapenz utaacha kuona wala care ya hali na mali
 
So kuoa bikra sio Fact kuwa hawezi danganywa na kugongekaaa...!
case closed
Kwani kuna binadamu asiyeweza kudanganywa?

We si ulisema used hawadanganyiki

Kama ndo sababu usioe cause mkeo atadanganywa
 


Nipo na mmoja ambaye ndio nilikata utepe. Wengine nilitumia kama Love Training Center. Siwezi mtoboa mwanamke mwenye bikra ilhali najua sitamuoa. Ila nyie wengine Tawile
 
Ni rahisi sana kumtambua mwanamke bikira na asie bikira kwa mwanaume makini ila wale wavodafasta ni ngumu yeye anataka apate kile fikra na hisia zake zimemtuma akipate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…