DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Yaan atapata Upendo Wangu woteee (na mkisikia nimefilisika ujue ni huyo tu)Tukubali .tukatae mschana mwenye bikra ni safi kwa ndoa
Kama huna hakikisha mwanao wa kike anaolewa nayo
Hakuna mwanaume ambaye hapendi bikra kwa karne hii ya 21 yenye kuweka mambo uwazi
Upate bikra aiseeeeh ntampeeenda mnooo
Frankly,I will love her to hell,haya ma used ni vile hakuna namna tu,yaan kila ukifikiria unamkaza afu anajiliza Liza Mara oooh I love you kumbe kuna vijeba (number haijulikani) ni uvumilivu tu