Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
- Thread starter
- #721
Hujaeleza maana ya ukweli, kama ni ukweli kwa mujibu ni sawa utapolazimisha uwe mtazamo wa dunia nzima ndo tutaingia kuargue.
"Na ukweli ndio huu wakujue Mungu wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma" -Yesu mnazarayo
Kumjua Mungu i mean kushika sheria zake ndio ukweli