Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu kwa umri wako ushawahi kutana na wasichana wangapi above 20 wenye Bikra zaoo tuanziee hapoo!! Maana naona mnaongea hadithi tu hapaa


Kwa kweli nimekutana na wawili ila mmoja ndiye niliyembikiri na ndiye mke wangu. Wakwanza aliponiambia yeye ni bikra sikuamini. Tulipanga siku ya kukwichi kwishi. Sikuamini ilikuwa ni bikra kweli.


Nilimuacha na kumuambia tutafanya siku ingine kumbe sikumpenda na nilijua ni tamaa zangu
 
Katika maelezo yako nimegundua vitu vi2.. either watu wako wa karibu huw wanakudominate sana or umejibu kukwepa mtego wa swali langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila watever it is nimependa maelezo yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bahati mbaya sikuuona huo mtego mkuu, mimi najadili mjadala huru unaoendana na hali ya maisha ya sasa. Sifungwi na mahaba wala hisia za namna nyingine zaidi ya zile za "usasa" ambazo mimi siwezi kuzikwepa You either.

Nimekuwa interested kufahamu watu wanaonizunguka wananidominate kivipi, nikiri kuwa sijaelewa kama hutojali nisaidie kunifafanulia.
 
Bongo yako sio empyt ila mmepishana mitazamo ndio maana hamuelewani.

Anajaribu kusema sisi tunaishi kwenye wakati ambao katika umri wa 20-30 bado msichana anapambana kusoma, kupata kazi, kuwekeza awe independent ndio aanze kuwaza kuanzisha familia katika msingi wakuolewa. Je msichana huyu katika umri wa 20-30 hana hisia za kufanya mapenzi? Atafanya na nani ikiwa hajaolewa? Je tumlazimishe kuolewa ndio afanye kama hataki je? So obvious atapoteza bikra yake ikiwa bado hajaolewa ktk process ya kawaida ya maisha, sijajustify chochote naeleza tu reality. Hii inatofautiana na zamani ambako ambapo bibi zetu na mama zetu waliolewa wakiwa na umri wa 13-17, 18, 19. Katika umri huo ingekuwa ajabu kukuta mwanamke huyo aliyeolewa sio bikra.

Kwa maana nyingine kusema mbona zamani bikra zilikuwepo kibao sio sahihi kwasababu hata umri wakuoa na kuolewa ulikuwa tofauti na sasa.
Saiv huo umri unaosema umri Wa kuolewa bibi zetu kuna bikra
 
Waliopoteza bikra zao na bado hawaja olewa na zaidi wamezaa watajutia zaodi wakisoma huu uzi


Hata sisi tuliooa wasio na bikra japo tuna mafanikio lakini si chochote
 
  • Thanks
Reactions: sab
Kwa kweli nimekutana na wawili ila mmoja ndiye niliyembikiri na ndiye mke wangu. Wakwanza aliponiambia yeye ni bikra sikuamini. Tulipanga siku ya kukwichi kwishi. Sikuamini ilikuwa ni bikra kweli. Nilimuacha na kumuambia tutafanya siku ingine kumbe sikumpenda na nilijua ni tamaa zangu
Me above 20 sijawahii mkuu...! Below labda wawili hiviii.... sasa huyo mwingne why ulimuachaa!?? ungeilaa usepe[emoji16][emoji16]
 
Kama hiyo bikira muhimu sana mbona mkishaipata humo kwenye ndoa na bado unaenda kutafuta hao wasiokuwa na bikira uliwaacha huko mwanzo?
Wangapi wanatoka nje baada ya kukuta bikra v/s wasiokuta bikra

Twende ki percentage?maana ki number hautakua fair
 
Mkuu vipi asieee!! Umepotea njia mkuu[/QUOTE]
Kiongozi

Habari Ya Kazi
Naona Unazidi Kubomoa Ngome Za Wapinzani Ingekuwa Kwenye Siasa Jimbo Ungeshaalifanyia Sending Off Maana Wapinzani Hoi.


Hadhira Umeishika Pabaya Sana Haa
UnajuaMapenzi Mkuu
Yakizidi Hata Mama Yako Aliyekuzaa Unaweza Kumwambia Wewe Hujakua Yaani Ukimaanisha Hajui Utamu Wa Mapenzi Wakati Yeye NdiyoKakuzaa 🤣🤣🤣 Wewe. Hoja Hujibiwa Kwa Hoja
Haya Siyo Mapenzi Ni Mahaba 😅😅💘💘💘
 
Saiv huo umri unaosema umri Wa kuolewa bibi zetu kuna bikra

Siwezi toa takwimu kwasababu mimi si mwanaume kusema nimewahi kutembea na watoto wa 13-19 nikute ni bikra au sio bikra.

Ngoja nijibu kwa hisia zitakuwepo nyingi ila uwingi huo hauwezi kuzidi kipindi kile cha bibi zetu katika umri huo.

Nirudishe swali kwako, we unaonaje?
 
"mlee mtoto katika njia ipasayo nae hata iacha hata akiwa mzee " ki2 kibaya anachoweza kufanya mzazi ni kujisahau kwamba anahusika kwa asilimia kubwa kutengeneza tabia ya mtoto
Mkuu yani ukimchunga kwa Vipigo na mkufungia nakwambia Ataliwaa tuuu... Kuna manzi alikuwa anambania mwana kinyamaa Ila manzi Ana shape hiloo msambwanda huoo... sasa mzee wake siku hiyo alimpiga kisaa alivaa sketi inambana yani alimpigaa hasaa... Hicho ndo kikawa chanzo yule manzi kubikiriwaa.

Alienda kumpa mwana bilaa kuitwaaa lakini ilikuwa hasiraa tuu sababu mzee wake alikuwa anambanaa...! Mleee katika njiaa sahihi lakini Ogopa kupitiliza kipimoo...
 
KAKA UMEGUSA PENYEWE... HATA WANAUME WANAOZIPONDA BIKRA... NI KWAMBA WALIOWAOA SI BIKRA... SO HAJUI KAMA ANARUDIGI KWA JAMAA ALIYEMBIKIRIA WIFE WAKO KUPASHA KIPORO AU LA...
inawezekana kuwa hajaoa bikra lakini kashawahi kudinya huyo bikra na akamwona kwamba hafai.. utunukiwe bikra kwenye ndoa wewe ni nani hasaaa??? labda na wewe uwe bikra ndio maana unauhitaji na bikra mwenzakooo
 
Siwezi toa takwimu kwasababu mimi si mwanaume kusema nimewahi kutembea na watoto wa 13-19 nikute ni bikra au sio bikra.

Ngoja nijibu kwa hisia zitakuwepo nyingi ila uwingi huo hauwezi kuzidi kipindi kile cha bibi zetu katika umri huo.

Nirudishe swali kwako, we unaonaje?
Kumbe ulisema afu huna uhakika mumy
 
Wanawake wasio na bikra na walioolewa bila bikra inawakera hii. Wanakuona mtoa mada kama ana akili za kipumbavu eti.[emoji16][emoji16][emoji16]



Ukweli ni kwamba

Bikra ina heshima hata Mungu aliithamini akamtunza yesu


Mwanamke bikra huwa hajui habari ya vibamia


Mwanamke asiye bikra hachelewi kukulinganisha na watangulizi wako


Mwanamke bikra ni ishara kuwa alijitunza sana na wengi huwa na heshima sana Fanya tafiti unayepinga hili .


Wengi walioolewa pasipo bikra ndio wanaoongoza kwa kumshambulia mtoa mada



Ivi nyie wanawake huwa hamjiulizi kwa nini mwanaume tunaongoza kwa kuulizia hizo bikra zenu ..


Eti unauliza kama mwanaume ana bikra wapi uliona mwanaume ana hymen



Poleni sana ndo maisha Dada zangu


Utawaambia nini mkuu. ikiwa mtu anaambiwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako na anavuta sembuse mambo ya bikra thubutuu
 
Mkuu nimewa-term kama wajinga kutokana na sababu kuwa; hivi kuna vitu viwili kimoja kipya cha pili ni kichakavu uanadhani mwenyea akili atachagua kipi na mjinga atachagua kipi.

Hujaconsider feeling, tabia za mwanamke ambayo pia mwanaume anazhitaji na huwa tofauti kati ya mwanaume na mwanaume,sio kwamba bikira hawapo, wapo sana ila hunafeeling naye hata kidogo je nimuoe kisa bikira pia unakuta nimempenda anasifa zote ila kosa moja kafanya kuna mwanaume mjinga kamadanganya mtoto wa watu kaingia mzimamzima kakosea ndiyo na pia kajutia hilo kosa je mm kumuoa kisa kakosa hiyo sifa moja kweli nastahili kuitwa mjinga mkuu, na pia nkiangalia mm nlishapita na wengine so tumepita kila mtu njia yake na tumekutana tumependana na sifa zingine zipo je mwanamke huyo ni mterm hanifai sio muaminifu kisa tu yy anatambulika mm sitambuliki, siwezi acha mke nkapoteza furaha yangu kisa kateleza hana bikira, tatizo ww umeangalia kati ya bikira na asiyekuwa nayo bila kuangalia mazingira na sifa zingine ukatoa hitimisho nakuwajumuisha wote, mimi binafsi sijaoa na sina demu ambaye ntasema na malengo naye na namjua alivyo

ila jua kwa hilo neno badala ya kufundisha unapotosha koz kuna mwanaume atapambana kufa kupona ao bikira ili tu asiwe mjinga bila kujali anampenda au hampendi bila kujali ana sifa zingine au hana ila kwa tunaojitambua haiwi hivyo
 
inawezekana kuwa hajaoa bikra lakini kashawahi kudinya huyo bikra na akamwona kwamba hafai.. utunukiwe bikra kwenye ndoa wewe ni nani hasaaa??? labda na wewe uwe bikra ndio maana unauhitaji na bikra mwenzakooo
Kumbe unakiri bikra ni tunu na haipatikani kirahisi,sasa wewe na wenzako mnazunguka nin?
 
Back
Top Bottom