Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Nakutesa sana inaonekana
Mmnnh bado,yaani wewe unitese?kwa kipi,kwa hoja zipi labda?uzi umekuja na haujakutaja jina ila umeujaza pumba wewe ndo unitese?

Nikuache,nasubiri wanaojua kutumia vichwa vyao tofauti na wewe nione wanasemaje.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ukitaka kujenga jamii safi nenda jamii ilipo sio hata watu laki5 sijui unatupigian
kelele zaa wako awe bikra kwanza ndo ukaelimishe jamiii

Acha kula bikra za watu

Acha kula malaya


Ndo utatengeneza jamiii[emoji38][emoji38][emoji38]


nshakuambia ujumbe huu sio kwako ndio maana unaona ni kelele
 
Haha simu nnayo tumia nimenunua Million 2. Usilinganishe simu yangu niliopata kwa pesa na vitu vya kipumbavu vinavyopatikana bure

Sent using Jamii Forums mobile app

Haha then who cares,unamdhalilisha hata baba yako na mama yako kwa maandishi yako hapa nakushauri hata kama upo nyuma ya keyboards andika vitu vya maana.

Mill 2 unaifananisha thamani na mwili wako?umetokana na jamii maskini sana that's why hata uwezo wako wa ku-compare vitu umekuwa hafifu,2 Mill ni hela gani unadhani wewe?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hahahhaah acha nicheke mie. Una uhakika na hata kimoja au ilimradi uonekane na wewe una maana mbele ya jamii. Ety familia maskini. Hopeless case

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…