Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hakuna lolote kwan ukikoboa mashineni anakoboa nani?!

Ukitwanga nyumbani unaweza twanga gunia2 peke yako?!
Dada,huo mfano wako wa mchele na bikra ni tofauti,labda nikuulize,unadhani kwanini mwanamke amewekewa bikra?
 
Kwa hiyo mama yako na mkeo nao ni vyoo sema tu wao ni vya private vinadekiwa na harpic ila kazi yao kama yetu , moja tu kukojolewa [emoji38][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app


Nimeshakuambia kuwa siwezi oa mwanamke asiye na bikra. Pili, nisingeweza zaliwa na mwanamke asiye na bikra. Ipo hivyo.

Once Bikra always bikra.
 
Hiyo ni common sense tu,,kuwa njia ambayo haijatumiwa haiwezi kuwa smooth..

But mimi sija urgue na wewe kuhusu swala la wanawake kujua kipi ni kibamia na upi ni mkuyenge wa haja..hii ni common sense

Point ya jamaa ni kwamba mwanamke ambaye ni bikra ni rahisi kukubaliana na maumbile yoyote ya mumewe tofauti na demu malaya...Mfano China,Korea n.k mbona wanawake wao hatuwasikii wakilalamika kama waswahili,wakati tafiti zinasema jamaa wana average to below average penis sizes??
Haha nyie bikra hamzijui mnaongea tu. Wanawake wa Sudan wakaamua tu wajishone huko chini kuepuka ufedhuli wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I mean anatomically how can you Identify it. Hata rangi mtu anafundishwa. Au mlizaliwa mnazijua zinavyoonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
So tunabishana kwa sababu tunajua kubishana au?labda kama sijakuelewa,kwa hiyo wewe unataka uelezwe hapa jinsi mimi mwanaume nitakavyogundua kwamba huyu ni bikra au siyo bikra?kwamba niangalie kwa macho tu au!!!

Una maana kama unagongwa kipande cha nyama kama ulivyosema huko juu hujui njia zitumikazo kujua?Ila nimegundua wewe ni mkongwe kiasi umeshasahau zile hisia ulizozisikia ulipokuwa unatolewa bikra kiasi sasa hivi ni kama hewa tu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Unapima bikra ya mtu kwa maandishi kaka pole hilo lako kashushie na pepsi kama vipi

Mwanamke bikra anatambulika kwa mambo mengi.
Uvaaji,
Utembeaji
Usemaji wake
uandishi wake
Ukaaji wake
Uangaliaji wake

Wewe hata usingeandika unaonekana kabisa huna bikra na imeshatoka miaka mingi mno. Japokuwa hainihusu na ni starehe kwako. Sasa nashangaa nikikuambia ukweli kuwa tabia hiyo ni kama choo cha Stend unasema nakutukana. Wewe mwenyewe ndio umechagua kutukanwa
 
Nami nimeona mkuu
Mimi sijakuambia usile raha. Andiko langu linaelezeo umuhimu wa wanaume kuoa wanawake wenye bikra.
Kama umesoma hitimisho, utagundua kuwa andiko hili linawahusu vijana ambao hawajaoa kuwa waoe wanawake wenye bikra.

Sijakataza nyie mapagama kuendelea kujigeuza mbwa mkiita ndio mema ya nchi.

Kile nilichoandika kwenye andiko langu unakithibitisha kupitia maoni yako.

Vijana naombeni muone jinsi wanawake wasio na bikra wengi wao wanavyofikiri ni kama huyu.
Kula mema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua ni ki1

Mleta mada ni mvulana na wanaochangi eengi ni wavulana ndo maana mnakilimbilia kuambiwa watu wana stress

Eavulana mnajidai mnajuabkila kitu

Ukiona kitu kinakushinda unakimbialia stress sijui depression

Huo ni ufala

Sjui kawakaririsha nan huu upumbavu

Nao hard feelings

Mnajadili kwa hisia

Maana ya kuleta thread mbele za watu ni kuchangiwa

Ss kama unaona mawazo ya wengine takataka huo uzi ungejifungia nao chumbani


Vyoo vya kulipia sjui bla bla

Matusi hayatakiwi

Jadili kwa hoja

Sio lazima kila mtu akubaliane na ww kama ww unaona nyangumi kwako sisimizi ni ww ila usitake anaeona nyangumo ni dude kubwa aamini kama ww

Ndo maana kila mru na ubongo qale

Hautaki ho buy a brain kama yake au nunulia watu kma yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tulia basi kidogo andika ueleweke,vitu vya humu usichukulie sana seriously hii ni wide forum kuna watakaojifunza kuna watakaokereka kama wewe na mwenzako Tuffanyy kikubwa kila mtu anataka hoja zake zieleweke.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Sawa tumekuelewa,ila sasa wanapatikana kweli kwenye hii dunia ya leo?maana hapa utasababisha sasa watu waoe wanawake ambao ni under age NA ukisema umchukue tokea mdogo umsubirie amalize kusoma,kivuko kigumu ni chuo kikuu,hapo kupavuka na kumaliza akiwa bikira uwezekano ni 0.0009...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wamejaa, mimi nimeoa mke na miaka 29 na alikua bikra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mama yako na mkeo nao ni vyoo sema tu wao ni vya private vinadekiwa na harpic ila kazi yao kama yetu , moja tu kukojolewa [emoji38][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sister naona unatumia lugha kali kidogo,nimeuelewa mtazamo wako kuhusu bikra,upo huru sana na mitazamo yako na hutaki kufungwa na imani,mi nadhani una haki ya kuwa hivyo lakini huna haki ya kupinga umuhimu wa Bikra kama ilivyokusudi la uumbaji.
 
Wanaume wanaotumia Redmi na tecno wanakuaga na inferiority complex

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] off topic,humu tunaringishana simu tena mkuu?nimekuudhi nini ndugu yangu hadi unafikia hatua hii.

Ajabu ya maisha,wewe mwenye iPhone X na hauna bikra unaweza usimfikie hata %00.1 ya maendeleo mtu anayetumia Tecno au dada mwenye bikra yake anayetumia kitochi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
[QUOTE="Jokajeusi,@[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui ni kwambie nn ila iwepo isiwepo hayakuhusu mzee uandishi na bikra ni ukolo[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui ni kwambie nn ila iwepo isiwepo hayakuhusu mzee uandishi na bikra ni ukolo[emoji23][emoji23]

Ujumbe umewafikia unaowahusu. Wewe tulia hapo usubiri huruma za wanaume ambao watajitolea kukuoa japokuwa umeshatumika
 
Back
Top Bottom