Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Nasemaga mimi hata mambo sijui ya kibamia, uwezo wa kitandani yamekuja siku hizi kwa sababu watu ngono kabla za mapema imekuwa kawaida. Mungu alikuwa sahihi kabisa kusema watu waoane bikra kwa vitu kama hivi.
Ukiolewa bikra ukisema una kibamia itabidi utujibu wewe hogo umeliona wapi.😀
Tumeacha njia za Muumba tumefata njia zetu. Na watu wanaona ni sahihi.

Mimi popote huwa nasemaga kuwa siwezi oa mwanamke bikra. Hata dada zangu wanaumiaga sana nikianzishaga mada za hivi.

Unazaa vitoto vinawaza ngono muda wote. Yaani kizazi cha zinaa.
 
Nasemaga mimi hata mambo sijui ya kibamia, uwezo wa kitandani yamekuja siku hizi kwa sababu watu ngono kabla za mapema imekuwa kawaida. Mungu alikuwa sahihi kabisa kusema watu waoane bikra kwa vitu kama hivi.
Ukiolewa bikra ukisema una kibamia itabidi utujibu wewe hogo umeliona wapi.[emoji3]
Tumeacha njia za Muumba tumefata njia zetu. Na watu wanaona ni sahihi.
Hayo mashimo na bikra mmezijulia wapi?. Au mlifanyiwa orientation kabla ya kuletwa duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bikra zipo nyingi sana. Sema wewe upo na mfumo unaokuruhusu usione kuwa bikra wapo.

Kama hujui dhima ya slid kwenye bidhaa huwezijua dhima ya bikra kwa mwanamke.
Unaejua ww si ukusanye uweweke ndani unakuja kuhadithia nafkiri kila mtu popoma kama ww
 
Siku hizi kuwapata ni kazi sana Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli Mkuu. Kila kitu kizuri siku hizi kukipata ni kazi

Jambo lolote zuri ni la wachache. Mwanamke asiye bikra ni chawote. Ni kwa matumizi ya umma.

Mwanamke asiye na bikra ni kama choo cha stend. Mtu yeyote anaweza kujihudumia.

Sijui nitaeleweka lini?
 
..............Nilichogundua hii mada imeingiliwa na wanawake either wana stress au menopause age imewakaribia na bikra zao walitolewa mashambani na vichakani kwa tuzawadi tudogo tudogo kama peremende na soda{dharau kubwa sana hii} ila naamini hii legacy ya huu uzi itawasaidia wale watakaopita hata kama siyo leo miaka ijayo kujitunza na kuthamini miili yao.

Penye watu dizain hii huwezi kupenyeza mawazo yako mazuri yakaonekana.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Na kuna wale bikira zao zimetoka kwa njia ya kuendesha baiskeli,hao nao unawazungumziaje
 
Mm nasema hv mwenye hisia kali anivae tu sioni ajabu


Ila mleta mada ni[emoji706][emoji706][emoji706]

Unawaza kutukana watu badala ya kutoa points shame on u

Nadhani vishindo vyako hua vya matusi

Eti bikra wakati unakula nyeti za watu halafu unajikuta na ww mtu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sir_Mimi,


Hawa hawanisumbui mkuu. Ikiwa nawaambiaga dada zangu sembuse hawa wa huku. Ukweli ni ukweli.

Yaani uoe mke wa Umma kweli wakati kuna wanawake ambao atakuwa wako tuu. Hata akichepuka unaweza msamehe kwa kuteleza
 
Goddess,


Sasa ulitaka nisile? Mimi lazima nile vyoo vya umma. Lakini kamwe siwezi itoa bikra wakati najua sitaoa.

Ninaharibu vilivyoharibiwa. Kama huna bikra kwa nini nisikuharibu? Lakini kama unayo hakika siwezi kukusogelea wala kukuharibu.

Nyeti za Public lazima ziliwe. Kwani uwepo wa malaya kazi yao si ndio hiyo
 
Jokajeusi,
..................Mkuu Jokajeusi pata picha kijana atakayekutana na hiki kisirani,naomba Mungu amuepushie hiki kikombe maana ni mtihani.sijui ni kwa sababu yupo nyuma ya keyboards ndo maana anajiamini kuandika haya but kwa vyovyote huyu hii ni asili yake ha-act.

Amekubuhu ni bwawa la mtera huyu.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom