Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Heb njoo pemben tujadil peke yetu kwa mifano hai halaf tuandae waraka wa kumpaka huyu mheshimiwa kwa msaada zaid.Hakuna jibu hapa tantalila boss hajanishawishi sijui aongee nn na nilivyo mbishi mpaka unishawishi umefanya kazi kweli
Ningekua sina kazzi ningejitolea kumchallenge mpaka nipate jibu
Maana nmeona kajisifu pale juu kwamba yeye hua mshindi siku zote