Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,806
Dada gar mpya waziwahi tumbo ni hii mara ya 2 naona mada hiiUkitaka gari likusumbue nunua gari used. Mpya ni mpya tuu.
Pesa ya kununua gari jipya mnayo au ilimradi kutoa maneno ya shombo? Magari mnayoagiza japan yote used.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuambia zipo ila waambie wazitafute wazilete tuone kama wanaweza
Wao ndo waharibifu kuwahi watt wa miaka 13 halafu hapa wanajidai kupiga kelele