Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Popoma ushapagawa sjui unaongea ukolo gan

Ukolo = Ukoro
sjui = sijui
gan = gani

Ndio nimeshaanza shule hivyo.

Kama hujui kuandika sidhani kama utakuwa unaelewa mada. Naomba nianze na kukupa shule kwanza, kisha tutarejea kwenye mada ukishahitimu.

Usijisikie vibaya, ni kwa nia njema tuu!
 
Sii wanaume sema wavulana mjini watu wanaishi kwa mboo zenu [emoji38][emoji38][emoji38]

Sii = sio

Ungepaswa uandike hivi;
Sio wanaume. Sema wavulana wa mjini, watu wanaishi kwa mboo zenu.

Ukishiajua kuandika ndio tutajadili mada mezani. Sawa mdogo wangu?
 
Bro uzi wako mzuri,haya matusi unayoendeleza unauharibu,hao wadada wamekusikia,wote mmesikiliza,kama vipi kila mtu abaki na mtazamo wake,ya nini kutukanana?
 
Bro uzi wako mzuri,haya matusi unayoendeleza unauharibu,hao wadada wamekusikia,wote mmesikiliza,kama vipi kila mtu abaki na mtazamo wake,ya nini kutukanana?


Shukrani Mkuu. Nimegundua baadhi hawajui hata kuandika. Nimeona nianze kushughulika na hili la kujua kuandika. Pengine wakishajua watajua na kuelewa kusoma mada kama hizi.
 
Tunaomba ambao hawajaolewa na bikra pia hawana wawe wavumilivi kidogo mana kuliza baba yako alimkuta maza na bikra ni dalili ya kupanic

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha watu wamepanic balaa,wamechafukwa yupo mmoja huko juu amejifariji eti bora ilivyotolewa ila in reality nafsi ikimsuta.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 


Mimi hata kama sitaeleweka. Lakini sitaacha kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…