Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Popoma ushapagawa sjui unaongea ukolo gan

Ukolo = Ukoro
sjui = sijui
gan = gani

Ndio nimeshaanza shule hivyo.

Kama hujui kuandika sidhani kama utakuwa unaelewa mada. Naomba nianze na kukupa shule kwanza, kisha tutarejea kwenye mada ukishahitimu.

Usijisikie vibaya, ni kwa nia njema tuu!
 
Raha ni kwamba kusema mbwa haitoshi ikiwa tabia sio ya mbwa.

Mbwa ni yule ambaye kulala na wanaume zaidi ya mmoja haoni shida. Bikra huna, umelala na wanaume zaidi ya mmoja bado usiwe mbwa.

Kama hao uliowataja wanatabia kama yako nao ni mbwa wala sikatai.
Bro uzi wako mzuri,haya matusi unayoendeleza unauharibu,hao wadada wamekusikia,wote mmesikiliza,kama vipi kila mtu abaki na mtazamo wake,ya nini kutukanana?
 
Bro uzi wako mzuri,haya matusi unayoendeleza unauharibu,hao wadada wamekusikia,wote mmesikiliza,kama vipi kila mtu abaki na mtazamo wake,ya nini kutukanana?


Shukrani Mkuu. Nimegundua baadhi hawajui hata kuandika. Nimeona nianze kushughulika na hili la kujua kuandika. Pengine wakishajua watajua na kuelewa kusoma mada kama hizi.
 
Tunaomba ambao hawajaolewa na bikra pia hawana wawe wavumilivi kidogo mana kuliza baba yako alimkuta maza na bikra ni dalili ya kupanic

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha watu wamepanic balaa,wamechafukwa yupo mmoja huko juu amejifariji eti bora ilivyotolewa ila in reality nafsi ikimsuta.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Umesema iliyo kweli tupu mkuu, bikra ndio dalili PEKEE kwamba mwanamke ni mwaminifu na ana nafasi kubwa ya kuwa mwaminifu kwenye ndoa pia. Nje ya hapo ni kuoa mwanamke mwenye mbinu za kukwepa kunaswa na mume, mwanamke mjanja.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk


Mimi hata kama sitaeleweka. Lakini sitaacha kusema
 
Back
Top Bottom