Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hauna majobu mzeee narudia tena

UMELETA MADA WW ILA MAJIBU YAKO NI[emoji706][emoji706][emoji706]

Hauna utetezi

Bikra inayotoka hata kwa basikeli [emoji23] ibakufanya unaleta madada halafu huwezi itetea

Leo nmekushinda mm pumzika
HAKUNA KITU KAMA HICHO, NI HADITHI ZA VIJIWENI TU.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mnatwanga maji kwenye kinu mngeanza kuelimisha upande wa kiume kwanza kijana ukikuta bikra ni kuoa matokea yake kwa sasa wakikuta bikra ni kujisifu wanatembea kwa mwengine. Ndoa zenyewe kwa sasa ni majanga tusidanganyane bikra haileti utulivu kwenye ndoa ili kuwa zamani wazee wetu walioenda jando sio wa sasa jeuri kibao.
 
kijana ukikuta bikra ni kuoa matokea yake kwa sasa wakikuta bikra ni kujisifu wanatembea kwa mwengine.
Haiko hivyo Hawachi, eti ukimkuta binti bikra ukaitoa basi umuoe! Mabinti wenyewe wanakuwa hawako tayari kuolewa, wanachopenda ni starehe tu na kuongwa ongwa basi. Na mara nyingi wanakubali kutolewa bikra na watu ambao kamwe hawawezi kuwaoa, mfano mme wa mtu, mabosi, au hata vijana wadogo ambao hata hawajielewi. Wakati huo wanawakataa wanaume walio tayari kuoa ati siyo type yao kalagabao.
 
Kwa Dunia ya sasa hakuna mwanamke akuzawadie bikra kisha akatae ndoa narudia hakuna vijana sio waoaji hata hiyo bikra mnayoipigia kelele hapa imekuwa sio kitu cha ajabu tena kwenu.
 
Ni kweli hawachi,tatizo lipo kwa wanaume,wanatembea na bikra then hawaoi,alafu anakuja kuoa mwanamke aliyechezewa na mwanaume mwenzie.Tatizo la msingi hapa ni tamaa,haswa kwa wanaume,unakutana na binti bikra hujampenda ila kwa kuwa ana tako,mbichi au upo kwenye position ya kumrubuni basi unamla bila kuwa na plan nae,then unamuacha alafu unaenda kujisifu umetoa bikra bila kujua umescrew lulu ya mwanaume anayeenda kumuoa.
 
Kwa Dunia ya sasa hakuna mwanamke akuzawadie bikra kisha akatae ndoa narudia hakuna vijana sio waoaji hata hiyo bikra mnayoipigia kelele hapa imekuwa sio kitu cha ajabu tena kwenu.
Vijana sio waoaji na kuna mabinti pia hawaoleki,sio wote kwa pande zote....ila kiufupi siku hizi ndoa zina changamoto, kuna mahali tumepiga kona tumepotea,ndio maana nimefurahi kuona mtoa mada anatukumbusha mambo yanavyotakiwa yawe.
 
Kwa Dunia ya sasa hakuna mwanamke akuzawadie bikra kisha akatae ndoa narudia hakuna vijana sio waoaji hata hiyo bikra mnayoipigia kelele hapa imekuwa sio kitu cha ajabu tena kwenu.
Duh tuko dunia tofauti au? Bikra nyingi zinatolewa kama zimechelewa kidogo binti akiwa kati ya miaka 15-20. Na wengi umri huo ndiyo ma-sister do wako vyuoni hataki kuolewa, ila wanaongoza kwa kugawa nyuchi kama sehemu ya starehe au kujipatia fedha. Hiyo unayoongelea wewe labda ni wale mabinti waliokwisha fika jioni kidogo yaani kuanzia miaka 26 kwenda juu. Na huko sijui kama kuna wenye bikra bado. Kama wapo basi ni wa kubahatisha sana au wametengeneza bikra bandia.
 
Kwa Dunia ya sasa hakuna mwanamke akuzawadie bikra kisha akatae ndoa narudia hakuna vijana sio waoaji hata hiyo bikra mnayoipigia kelele hapa imekuwa sio kitu cha ajabu tena kwenu.
Dada watakulima matusi humu suburi uanze kuitwa mbwa[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…